Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,097
- 127,830
Hahahahahah umenikumba kitu mweeee, kuna matu alimdanganya demu mie nafanya kazi flani basi demu alivyotajiwa kazi anayoifanya mchizi demu akajua hapa machizi ana hela tobahh mmmmmh duh, mashikaji akampata demu lakini sasa ile kazi alikua afanyi na wala hana hata kazi mweeee demu kwavile anajua mchizi kazi nzuri nini vibomu vikaanza, sasa mshikaji kuona ataumbuka kazi hana na hela hana ikabidi aibe hahahahahah uongo huu shida mchizi akaishia lupango hahahah jaman jamin mlio zoea kudanganya kueni makini kwani ukimwambia mtu mimi ni mfyatua matufali atakuelewa tu kuliko kumdanganya eti nafanya kazi bank wakati hata ATM yenyewe ujui yafanana vipi!
Kuna mtu anafanya kazi sehemu fulani hivi....sasa kunitajia ile kazi yake akaona soo si akaniambia ye usalama wa taifa na ile kazi anayoifanya ni kizugio tu. Na kwa uongo huo alinikosa wakati nlishamjubali kabisa.Watu hawana haya jamani daah....hivi usalama wa taifa huwa wanajisema?