KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,143
- 40,910
Salaam wakuu
Nimekuwa nikishuhudia mahusiano mengi yakivunjika na hata ndoa zimekuwa na migogoro kama sio kuvunjika kabisa.
Lakini ukija kuchunguza kwa umakini unakuta mzizi wa yote ni uongo tu mmoja kati ya wapendanao alikuwa anamuongopea mwenzie.
Huwa najiuliza inakuwaje mtu ambae unampenda na una malengo nae ya muda mrefu kwanini unatumia uongo kumpata, kwanini usimwambie ukweli kuhusu wewe ili mwenyewe achambue mbivu na mbichi.
UKWELI HUKUWEKA HURU.