Wee toa tuu tupate mawili matatuJamani hii ya kuanza bila mtaji mie ni muumini...kiukweli sio lazima biashara uanze na mtaji..kama ulovyosema mtaji ni kuwa Na muda na akili hili ndo wengi tunafeli hapa!
Sema tukitoa ushuhuda tutaitwa mamotivesheno supika š