House4Rent Nyumba ya kupanga Mbagala Sabasaba

prince john john

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
2,080
3,106
Nyumba nzima inapangishwa maeneo ya mbagala sabasaba nyuma ya Tayma hospital mita10 kutoka stend ya mwendo kasi na kituoni
Sifa ya nyumba
1. Nyumba ina vyumba 6
2. Vyumba vya kulala 3 kimoja ni master
3. Vyoo na bafu ni vya ndani
3. Jiko 1
4. Sebule moja kubwa
5. Maji na umeme unajitegemea hautashare na mtu yoyote
6. Ulinzi wa mageti wawili mbele na nyuma upo

Kodi ni laki 3 kwa mwezi @kwa miezi 6 au chini ya hapo tutasaidiana.

0683 670 294
View attachment 2452921View attachment 2452922View attachment 2452923View attachment 2452924View attachment 2452925View attachment 2452926View attachment 2452927
 
Please ukipata/kuskia self contained yenye maji ndani kodi 50000-60000/= ninaomba kwa dhati kabisa nijulishe..asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom