Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Kuna wengine mtoto anakuwa home, mama akija na mgeni ashasema aitwe "aunt" mweeh
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Uwiiiii i cant emagine doing that to my child kwakweli, kisa mwanaume!!!!! Naaah!
Oh God!, halafu imagine kuna watu wa hivi. Mungu Aturehemu kwa kweli.