Kwanini unaogopa kumwambia una mtoto?

Kwanini unaogopa kumwambia una mtoto?

Huyo mwanamke anaye mkana mwanae kisa kumfurahisha mwanaume sio mwanamke wa Ukwe, na sio mama wa Ukwe.

Mwanamke wa ukweli atajuvunia mwanae popote, na kwa yeyote. We are mothers of this World, and should be proud of it.
 
Mwanamke aliyezaa halingan na ambay hajazaa that y wanaficha na wengine kutoa mimba
 
Sijawahi kumficha mwanamke kuhusu mwanangu,napenda mwanamke mwenye mtoto halaf akawa muwazi huwa nawaamini sana wadada wenye watoto kuliko ambao hawana
 
Hellows,hii tabia nimeiona sana kwa wanawake wezangu unakuta ana mtoto lakini akikutana na mwanaume mwingine na wakitaka kuanzisha mahusiano amwambii ukweli kuhusu mwanae wengine hudiriki hata kusema kua ni mdogo wake wengne mtoto wa ndg yangu hivi kwa wanawake wenye haka katabia mnaweza nambia kwann huwa mnakua hampend kufunguka na kama kwa wanaume pia hii kitu ipo mnaweza nambia why inakua hivo?
Ukiona hivyo anataka kujifanya hajagongwa sana..wanaume wengi tuna katabia ka kuamini kua mwanamke mwenye mtoto kacheza mechi nyingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom