Kwanini unaogopa kumwambia una mtoto?

Kwanini unaogopa kumwambia una mtoto?

Sababu hamna mwanaume anapenda akae na mtoto wa mwanaume mwenzake,maana anaamini ipo siku atspigiwa tu na baba wa mtoto,
Kumbuka waliozaa pamojs huws hawaachani
! Jumlisha ma-x wengine
 
Mwanamke jipambanue ulivyo ili uone huyo mwanaume ataendelea kukupenda au laa,ukificha halafu akija kujua baadae,nini hatima ya ndoa au mahusiano yenu..,vilevile jaribuni kuamini kua KWELI humuweka mtu huru.
 
Huyo mwanamke anaye mkana mwanae kisa kumfurahisha mwanaume sio mwanamke wa Ukwe, na sio mama wa Ukwe.

Mwanamke wa ukweli atajuvunia mwanae popote, na kwa yeyote. We are mothers of this World, and should be proud of it.
Yani nina rafiki angu, ukikaa naye dk 2 lazima atammention her lil man. Sasa pata picha unakaa na mtu mwaka na hajamtaja mwanae hata kwa bahati mbaya. Itabidi tu ukimbie, sio kwa roho ngumu hiyo
 
Chi ndio hapo chacha!!
 
Aisee me siwezi kuficha kama nina mtoto.

Na nachoshukuru huyu mwanangu anapendwa hadi najisikia raha. Yaani as if ni mtoto wake kabisa. Ashukuriwe Mungu kwa kweli
 
Yani nina rafiki angu, ukikaa naye dk 2 lazima atammention her lil man. Sasa pata picha unakaa na mtu mwaka na hajamtaja mwanae hata kwa bahati mbaya. Itabidi tu ukimbie, sio kwa roho ngumu hiyo
Hivi naanzaje kuficha kuwa nina mtoto!! I have a doughter and i love her to death[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Hellows,hii tabia nimeiona sana kwa wanawake wezangu unakuta ana mtoto lakini akikutana na mwanaume mwingine na wakitaka kuanzisha mahusiano amwambii ukweli kuhusu mwanae wengine hudiriki hata kusema kua ni mdogo wake wengne mtoto wa ndg yangu hivi kwa wanawake wenye haka katabia mnaweza nambia kwann huwa mnakua hampend kufunguka na kama kwa wanaume pia hii kitu ipo mnaweza nambia why inakua hivo?
binafsi huwa siulizi, nikiingiza tu mdudu wangu najua huyu mwanamke kazaa au hajazaa. wakati mwingine hata kabla ya kuingia, nikipiga finger tu ile kuloweshana, sihitaji kuuliza kama una mtoto, labda iwe "watoto wangapi?"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom