my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,390
Kwanini ulijichora tattoo mwilini? Umewahi kujuta kwanini ulijichora? Mi siwezi kujichora tattoos sipendi naona kama uchafu,hata haipendezi.
cwezi kujichora hta cku mojaAyah.....!! Na usijichore tu hakuna namna.....!!!
babu uzee unakuchanganya samahan km nakukeraWe binti na vi thread vyako vya kujizungumzia km superstaa unanikeragaa
kwann ulichora cross?Napenda tatoo, Niko na tatoo ndogo ya cross
Her name is her name, tutamtambuajeWe binti na vi thread vyako vya kujizungumzia km superstaa unanikeragaa
Umeona wacanada hawapendezi...?kwann ulijichora tattoo mwilin? umewah kujuta kwann ulijichora? mi siwez kujichra tattoos spendi naona km uchafu. hta haipendez
Correctionbabu uzee unakuchanganya samahan km nakukera
We binti na vi thread vyako vya kujizungumzia km superstaa unanikeragaa
waswahil kuiga ujinga wanaona ujanjamwendawazimu wa mzungu, fasheni kwa mswahili!Iga mambo ya "akili'na siyo ya kipimbi
truendo maana binadamu tunatofautiana sio lazima upende kila kitu
km unapenda ipo sku utachoraNapenda tattoo ila Siwez kuchora
Labda itatokea siku nitachora ila naogopa sana ile sindano pili malengo ya maisha yananifanya nisichore. Labda nikifika 40yrs huko ila kwa sasa sidhankm unapenda ipo sku utachora