wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,494
- 29,278
Kama ule mda ndo umetoa pochi wakati ndo umeifungua kuna jicho hutoka haki ya mungu unaweza sema la ng'ombe kakabwa mashudu
Hamna lolote ni ushamba na unafiki wa mademu wa kiafrica......kijifanya eti wanaaibu wakati aibu yakutongoza na kupiga mizinga hawana