Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Napata kotekote[emoji28][emoji28]Tuambie hapa nini inakusukuma kuanzisha mahusiano mapya na tayari una mpenzi mwingine ..?
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Napata kotekote[emoji28][emoji28]Tuambie hapa nini inakusukuma kuanzisha mahusiano mapya na tayari una mpenzi mwingine ..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano unaona bora uwe na msaidizi (kama humuelewi uliyenae)ikitokea mlipuko wa urusi unabadili njia unaelekea North Korea.simpo