binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,319
- 41,507
Tatizo ni kuwa watu hawapati wapenzi wao wanadandia wapenzi wa wenzao, which is justifiable huwezi mpa hela kimazoea mpenzi wa wenyewe. Sana sana utampa pesa akupe sex upite hivi.dogo mwepesi sana kichwani.
Yaani hajui tofauti ya upendo na ngono.
Mwanaume anaempa pesa mwanamke, kama wapi kwenye uhusiano anakuwa na uwezo mkubwa wa kuwa kiongozi wa mahusiano hayo.Atakuvumilia kwa lipi sasa? Kwamba uyo mwanaume anajinyea kwaiyo mwanamke atamtawaza? Au mwanamke haitaji mwenza kwaiyo kuamua kuwa na mwanaume ni kumuonea huruma tu? In which way a man become a burden kusema mwanamke analzimika kupewa hela ili amvumilie uyo mwanaume?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuvumilia kwa lipi sasa? Kwamba uyo mwanaume anajinyea kwaiyo mwanamke atamtawaza? Au mwanamke haitaji mwenza kwaiyo kuamua kuwa na mwanaume ni kumuonea huruma tu? In which way a man become a burden kusema mwanamke analzimika kupewa hela ili amvumilie uyo mwanaume?
Na hao wanaume ambao hawataki kujishughulisha kwa kutegemea kuhudumiwa nao wanachofanya sio sawa, hata kama mwanaume ukiyumba kiuchumi na mkeo akisimamia show angalao upambane kuinuka lakini iyo ni mada ya siku nyingine. Mada ya leo ni kwamba hakuna sababu yoyote ya kumpa hela mwanamke mwenye nguvu, akili na access zote za kujitafutia mwenyewe vinginevyo mwanamke husika aweke wazi kwamba unauza kumer.Ni sahihi. Na kuna wanaume wengi tu wanafanya hivyo, Waulize mashangazi wakuambie.
If you have what it takes tulia utahudumiwa hamna haja ya kutumia nguvu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah mwamba umeamua kuwapa makavu. Kikao kijacho utapewa nafasi ya kuwa katibu mwenezi kanda ya mashariki yote uishike wewe.Hakuna majibu umo ni upumbavu mtupu
Mimi nimezipotezea comment zako kwa sababu nimeona haunielewi, napigia mbuzi gitaa tu. Nakuelekeza kwa mara ya mwisho. Upendo sio justification ya kutoa hela. Kwa namna yoyote hela ikishatumika kama medium ya kuwezesha chochote katika mahusiano iyo ni biashara, linabdilishwa jina tu la hela unayotoa, ile hela unayompa mwanamke ufanye nae sex instantly inaitwa bei na unayompa uyo unaedai unampenda ili kutengeneza mazingira ya yeye kukurudishia upendo au kutengeneza mazingira ya kupata sex inaitwa matunzo. Kimsingi hao wanawake wote wanajiuza wanatofautiana mbinu tu.dogo mwepesi sana kichwani.
Yaani hajui tofauti ya upendo na ngono.
NAKAZIANyie wanaume maboya embu amkeni basi.
Ok. Basi kuna sehemu tumepishana kidogo. Andiko langu linahusu mahusiano ya boyfriend and girlfriend. Kuhusu mke unaishi nae nyumbani kuna mawili kama mmekubaliana awe mama wa nyumbani basi ni wajibu wa mwanaume kubeba jukumu lote la ustawi wa kiuchumi kwenye familia na kama mmekubaliana mke awe mpambanaji basi nae anawajibika kuleta kitu mezani.Mwanaume anaempa pesa mwanamke, kama wapi kwenye uhusiano anakuwa na uwezo mkubwa wa kuwa kiongozi wa mahusiano hayo.
Ata-determine dates, trips, vya kula ndani ya nyumba kama wanaishi pamoja.
Kama Kuna familia, role yako ya kuwa kiongozi wa familia unakuwa rahisi kama unampa mke wako pesa za matumizi ya familia na yeye pia kununua vitu kama nguzo, vidani, viatu, make ups, kwenda saloon, perfumes etc...
Kama humpi mwanamke wako hela, kwa asilimia kubwa ndoa hiyo itakuwa inaongozwa na mwanamke na wewe labda utumie tu utemi.
Utasema mwanamke anakuzimia, ila hayo huwa yanaisha na itakuwa boring.
wanawake walio single wanatembea uchi?Mpe mwanamke hela, ajinunulie nguo nzuri avae apendeze, ajinunulie vipodozi, vito na manukato mazuri ajipambe apendeze. Sasa ukisema pesa apewe na baba yake na mbususu pia utasema ampe baba yake
We chukulia pesa unayompa mwanamke ni kama zawadi juu ya upendo wako kwake. Ndio maana hata mkioa waume mnatoa mahari na kupeleka zawadi kwa familia ya mke. Na unamfuata mke kwao kumchukua kwako ili umhudumie.
Misingi lazima iwekwe hatuwezi kuacha kila mtu afanye anachotaka eti kwa sababu ni hiyali yake. Kuna mijitu ni mipumbavu kwaiyo lazima iwekwe kwenye mstari iwe ni kwa hiyali au kwa lazima.Wenye uwezo wa kuhudumia wahudumie, wanaoweza kununua wanunue, wanaopiga nyeto wapige na hata wale wa ndoto nyevu waendelee. Kila mtu aishi ananyoona inampa raha na amani ya moyo.
Utawaambia lakini kila mtu na maamuzi yake na pesa zake.Misingi lazima iwekwe hatuwezi kuacha kila mtu afanye anachotaka eti kwa sababu ni hiyali yake. Kuna mijitu ni mipumbavu kwaiyo lazima iwekwe kwenye mstari iwe ni kwa hiyali au kwa lazima.
Relax mkuu. Sometimes we just make trouble jf iwe na hekaheka kidogoUtawaambia lakini kila mtu na maamuzi yake na pesa zake.
Why you always panic when someone tries to oppose some women's bad behaviours???Siku ukiwa na content mpya nakupa ajira
She belong to those characters exposed, nothing else.Why you always panic when someone tries to oppose some women's bad behaviours???