adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
Ukitangaza unatoa promo za dhambi kwa wengine na kueneza uovu kuliko yule anayekaa kimya , mfano mimi nikianza kufichua maovu yangu kuna watu labda walikuwa wananihesabia kama kiigizo chao sasa wakijua na ikiwatokea situation kama yangu kupelekea kufanya dhambi watasema kama fulani yule kila siku swala tano na anafanya vitu fulani mimi ni nani nisifanye ?Usipotangaza ndio unakuwa forgiven?
Zab 1:1-2 SUV
.......... Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.........
Duuu!Kusema kweli mchungaji wangu alifumaniwa na MKE wa mtu, kuanzia hapo nikaona kwenda kanisani ni kupoteza muda tu na kuliwa sadaka zangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Walivosema sema tumchangie mchungaji gari, nikasema kwaheri mazee
Umetisha. [emoji23][emoji23][emoji23]walibadilisha kikapu Cha sadaka ikawa siwez kuchukua chenji
Dhambi ndio lakini ndio mtudindishe kiasi hiki jamani?[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kula tigo ni dhambi.!
Nilipoamua kuishi ndani ya uhalisia wangu. Hayo mengine sio shida zangu.
Hivi na loyola ni yamichango.Hahahahaha watu mmeanza kutiririka sasa... kwa nini shule zao zinajengwa kwa sadaka na michango ya waumini (wakati mwingine hata kwa kuwalazimisha kuchangia), ila ada ni sawa kwa Wakristo na wasio Wakristo? Sasa kuna faida gani ya kuchangia? Watoto wa waumini wanafaidiakaje japo kwa uchache tu? Ni wenye pesa pekee ndiyo husoma shule hizo. Mfano ni Loyola nk!.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
ok mkuu pole sana.Nina maswali yaliyokosa majibu ndio maana na hakuna aliyeweza kunijibu kwa ufasaha maswali yangu. Nadhani miaka ya hivi karibuni nitahamia kule...
SadakaHeri ya Jumapili kwa nyote.
Niende madani sasa.
Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?
Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?
Karibu!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Mkuu ningekuelekeza kwa pini moja matata mno Uwanja wa Fisi, sema unaonekana wa kishua mkuu to survey those areas..[emoji38]Dhambi ndio lakini ndio mtudindishe kiasi hiki jamani?
Nimekubali ndio mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]
Kwamba umekubali wewe ni DUME?
Umehendzapuu? [emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji85]
Ni ya msaada, ila ni ya Kikristo, lazima vipaumbele viwe kwa watoto wa kikristo, hata kwa kutoa ufadhili wa kusoma kwa ada nafuu nk! Hakuna shule nimewahi ona inafanya hivi zaidi ya janja janja tu. Ada ya Loyola unadhani mtoto wa mtoa sadaka mlalahoi atagusa?Hivi na loyola ni yamichango.
Na kwenye makongamano ndio balaa zaidi. Mchungaji wa kutoa neno anaanza saa kumi na Moja, ujumbe mkuu ni matoleo mpaka mwisho. Akafu unaambiwa Kwa upole muda wa kutoa, jitahidi utoe zaidi ili ubarikiwe zaidi. Yaani ni hatari kabisaaaaa siku hizi. Na makanisa yanajazana kila Kona.Shida ya makanisa ya SASA ni gospel for sale ,michango ni minigi mpaka Mungu mwenyewe atakuwa anatushangaa,ibada hazina mvuto SoMo la utoaji limeshika Kasi, ubatizo masharti kibao wachungaji mapadre tunawachangia Kila siku lakini hawatosheki hubuni majina mapya Kila wakati
Ntapata wanaotoa tunu?Mkuu ningekuelekeza kwa pini moja matata mno Uwanja wa Fisi, sema unaonekana wa kishua mkuu to survey those areas..[emoji38]
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
ushuhuda unaweza kuwa kipimo cha imani ya kweli ila sio wakati wote.Kuna situation ambazo sio za kweli.Ni sawa na kuangalia miujiza.Kuna miujiza ya Mungu na ambayo ni ya nguvu za giza.Pia sio kipimo cha imani ya kweli.Nimeshuhudia visa vya watu kadhaa wakibabaika mbele za watu baada ya kukosea kutoa ushuhuda.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Hawakosi! Au Lambo! Kuna yale yaliyonona nonaNtapata wanaotoa tunu?
Imani yako hiyo katika kuamini Mungu hayupo ni kwa sababu una a very narrow and limited scope ya nafsi na mwili wako kuyaona mambo.Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
Lakini kumbuka ni swali tu limeulizwa, halina maana ya kuwa anaelijibu anajigamba, hapana. Anaweza akasaidika pia kwa kupata mawazo chanya juu ya changamoto kuu iliyoweka pingamizi kwake kutembelea nyumba za ibada mkuuUkitangaza unatoa promo za dhambi kwa wengine na kueneza uovu kuliko yule anayekaa kimya , mfano mimi nikianza kufichua maovu yangu kuna watu labda walikuwa wananihesabia kama kiigizo chao sasa wakijua na ikiwatokea situation kama yangu kupelekea kufanya dhambi watasema kama fulani yule kila siku swala tano na anafanya vitu fulani mimi ni nani nisifanye ?
Vilevile kutangaza ni dalili ya kibri kwamba aliweka makatazo si lolote hilo jambo ni kawaida.
Ndio mtu anakuwa Forgiven kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu kuna madhambi mtu atasamehewa kwa kuwa hakutangaza akayasitiri.