Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kama kuna ubaya ,bila shaka kuna wema pia
 
Cute wife why nimuambie yeye na si wewe? Wewe nina uhakika 100+% ni jike. Ila huyo niliyemtaja mmmmh, niishie hapa.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Mkuu si nimekubali kuwa kweli mimi ni mwanaume kama unavyodai?

Au kuna mahali nimebisha mkuu wangu?

Nikuambie tu.
Mimi kuhisiwa ni mwanaume ni fahari kwangu.
Mwanaume ni taswira ya Mungu maana Mungu alimuumba kwa mfano wake.Uanaume ni ushindi na heshima.

Vile vile kwa vita niliyoipigana kwenye maisha yangu ni sawa kabisa nikiitwa mwanaume.Ni wanawake wachache wana ujasiri wangu.

Kwa hiyo mkuu ni kweli NAKUBALI mimi ni dume.
 
Hongera sana kwa kushinda. Keep it up

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Vile vile kwa vita niliyoipigana kwenye maisha yangu ni sawa kabisa nikiitwa mwanaume.Ni wanawake wachache wana ujasiri wangu.

Kwa hiyo mkuu ni kweli NAKUBALI mimi ni dume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]

Kwamba umekubali wewe ni DUME?

Umehendzapuu? [emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…