Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

I mean kwenye kila kitu kikubwa dunia hii utafanya, ni lazima aidha utumie nguvu za kiroho iwe Mungu au la, sasa wewe utachagua nguvu ipi? Unajua why mchawi hawezi kuvunja bank?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
MUNGU HAYUPO, SHETANI HAYUPO, UCHAWI HAUPO.....

hivi vitu unavipa nguvu kwenye akili yako ndo maana unaona vipo....
ili biashara ikue inabidi utoe huduma bora kwa wateja wako kuliko ushindani wako, basi.... hamna nguvu ya ziada.....

najua utabisha, fanya utafiti wako mwenyewe utaweza elewa ninachomaanisha
 
Hakika! Nikiwa shuleni nilikuwa namuomba Mungu eti nifaulu kwa ubora mkubwa. Aisee matokeo yalikuwa yananifurahisha, nilikuwa nafaulu kawaida mno. Nikagundua kumbe nilikuwa na jihudi ya kuomba na si kusoma.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Dini zote ni upuuzi mtupu mi sina Dini, mafundisho yao ni ya kufikirika na yamejaa Uongo.
Na uwepo wako hapa duniani unafikiri hauna muunganiko na imani..

Imani ambazo zipo ktk Dini na wewe umezitukana. Kwamba kupitia hizi imani thats why we exist.

Yani hatukutokea ktk hii planet kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom