Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Unakutana na watu Wana hali mbaya mno pale kanisani, wengine wagonjwa mno na hela hawana,

Halafu kama ni msomaji wa Biblia mzuri utagundua kanisa la akina Paulo halikuwa hivi, waliwajali mno masikini na waumini walalahoi. Halikuwa na ubaguzi.


Afu unakuja kuambiwa eti tumchangie mchungaji gari

Alaaaa huu ni upuuzi

Wajinga ndiyo waliwao boss though ni mchungu mno uhalisia huu

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Jirani yangu kuna mganga wa kienyeji, sasa kuna siku nazunguka na wife, namuona mganga na mchungaji, wanaagana mchungaji anarudi kigoma, duh
Jirani yangu ni mama mchungaji aisee roho mbaya, matusi na madeni yanamsumbua, mpaka wapate sadaka ndio alipe
Yote padri kutembea na waimba kwaya wote wa kike, Padri kutembea na mke wa mtu hadi jamaa kwenda kwa Askofu kumsemea, mwisho Padri kulewa mpaka askari wa doria usiku wanamkamata ndio wanashtuka heee Father?
Roho imekuwa ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
RC pombe si wanaruhusiwa kunywa au?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Halafu kama ni msomaji wa Biblia mzuri utagundua kanisa la akina Paulo halikuwa hivi, waliwajali mno masikini na waumini walalahoi. Halikuwa na ubaguzi.




Wajinga ndiyo waliwao boss though ni mchungu mno uhalisia huu

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Hizo hela za kumchangia gari mchungaji bora nikawape watoto yatima

Lasivyo bora nipigie bia
 
Mada imenigusa:

Mie sijaacha kwenda kanisani,ila nimepunguza kwenda🙏huku niliko naishi alone,huwa naenda mara moja moja hasa kwenye matukio,kama ekarist nk.

Ila nikirudi nyumbani nilikozaliwa nakukulia hasa likizo,huwa sikosi ibada kuanzia jpil hadi misa za wiki.

Nikienda watembelea wanangu mkoa wanaoishi,huwa mimi na wao hatukosi ibada kamwe🙏hata leo nimezungumza na mwanangu mchana,nikamuuliza kama alienda Chachi,akanambia ;ndio mama nilienda ibada ya watoto na tulifundishwa tuwe na utu na tusaidie wazazi.so utaona kwa upande wa watoto wako vizuri,na hata nikiwa nao nahitajidi wasikose ibada.

Tatizo mimi binafsi nahisi kupungukiwa na nguvu ya kuhudhuria ibada,ingawa nasali mara kwa mara.Nahisi ni changamoto za maisha zinaleta hayo.
 
Back
Top Bottom