Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Mchungaji alimwomba demu demu wangu mzigo. Alipogoma, siku moja akamtuma nyumbani kwake. Alipoingia, mchungaji nae akawa nyuma anafunga mlango. Kwa bahati mbaya alikuwa kisago na mZigo hakupewa
 
Et!!! Kuangalia urembo wa asili walioumbwa nao wanawake si dhambi pia ni dawa inayotibu msongo wa mawazo.

Akili yako ni ya havyo na ulicho kiandika ni pumba tupu
Wewe ni mwanamke unauejionea wivu mwenyewe?
 
Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Sjawah kusutwa na nafsi toka nimeacha kwenda kanisani miaka 17 sasa
 
Kwamba umeshajitosheleza kiroho kiasi kwamba huhitaji tena kwenda ibadani..?? Au unaamini kwenda kanisani ni kwenda tu kulitazama lile jengo, kuvaa smart kutoa sadaka na kurudi nyumbani.??
Kma biblia inakuambia malaika Ni weupe , nyeupe Ni njema dhambi ztafutwa na kuwa nyeupe kwa nn zisfutwe na kuwa nyeusi Mara Nuru Ni njema . Alafu mm Ni mweusi African kwa nn niamni maandko yaliyoletwa na wazungu kma kitangulizi Cha ukoloni??????
 
Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Unadhani Mungu alikuwa mjinga kuwapa watu utashi wa kupima na kuchuja mema na mabaya?.Nani aliyekujaza fikra kwamba kwenda kanisani ndiyo kwenda mbinguni?.Hata hivyo kila muasisi wa kanisa ana ajenda zake za siri.
 
Maana yake mlipata mil 50 lakini alikosea angesubiri mpaka apate mgao wake ndo angeenda kutoa zaka...hapo alikosea. Lakini hii isikufanye kuacha kwenda kanisani...Mungu amekupa vingi vinavyozidi hiyo Mil5
 
Nafsi yako ndio kanisa lako, toa kwa wajane na yatima, ni sadaka tukufu.
Soma neno la Mungu na uliishi, ni mahubiri tosha.
 
Mimi niliacha sababu ya sadaka
Sadaka ilikua ni Kama lazima vile alafu pale kanisani wanaanzia mstari wa mbele unatia alafu unazunguka njia ingine unarudii kukaa ukitokea nyuma Sasa mstari wako ukifika wote wanakuona usipokua nayo wote wanajua hujtoa yani[emoji38][emoji38]

Ingine muda wa kuombea sadaka Yule mchungaji alikua mpuuzi anaomba eti uwabariki walitoa hapo nikaona Sina changu sadaka ilikua na umuhimu mkubwa kuliko matatizo ya watu
 
Ibada sahihi kwa mwafrika ni tambiko hizo nyingine ni biashara za watu
 
Sadaka halali kwa Mungu ni kuchicha mle wote sio kumpelekea mchungaji hela
 
Siku Papa Francis alipotangaza mashoga wanakubalika kwenye kanisa wakati Biblia inapinga kabisa ushoga, nikajua hizi ndizo dini bandia tunazosoma kwnye Biblia, wale wanaosemwa na Yesu sikuwajua ninyi kamwe!
 
Nawaza jinsi gani nitafunga ndoa bila kuingia kanisani, kama ni lazima basi ni hicho tu kitanirejesha huko... japo nitawekewa vikwazo kama vyote!
Hamna vikwazo, pochi lako tu ulipie sadaka ulizokosa kulipa huko nyuma halafu unatakatishwa kufungia ndoa kanisani! Hapendwi mtu, pesa yake tu!
 
Dahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
Huku hakuna tofauti na lile jimbo la kina ugonile asee michango kila jumapili yani jimbo hovyo kabisa,alafu kauli wamazotumia ni ovyo san adi ibada inapoteza radha michango isiyokua na mpangilio na wizi eti kupaka rangi kaua kadogo ka zabibu laki tatu na ushee😂😂😂
 
Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!

Kwenda kanisani sio kwenda mbinguni ibada inaweza fanyia mahala popote ongea na mungu wako toa sadaka kwa namba yoyote

Hivi Unajua unanda kanisani kwa sababu gani au na wewe hujui ?
 
Hamna vikwazo, poch lako tu ulipie sadaka ulizokosa kulipa huko nyuma halafu unatakatishwa kufungia ndoa kanisani! Hapendwi mtu, pesa yake tu!

[emoji15][emoji15][emoji15]

Basi huu ni ushahidi mwingine na sababu ya kutokuhudhuria kanisani, Pesa!!
 
ngoja tuuulize Zero IQ kwanini aliacha kwenda Jumuiya?
Hebu njoo we mkuu wa mabaharia wa uchakataji
 
[emoji15][emoji15][emoji15]

Basi huu ni ushahidi mwingine na sababu ya kutokuhudhuria kanisani, Pesa!!
Hahaha! Yaani hadi leo ulikuwa hujaelewa? Tena ukitoa pochi kubwa utatangazwa na utawekewa kiti chako rasmi mbele, special for you, usipokuja kanisani hakikaliwi!
 
moshi wa mwenge wa uhuru km mtu aliwahi kuukodolea macho hataacha kuona mauzauza. Uhuru wenyewe htn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…