Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,803
- 17,418
Kwani kabla ya hizi dini hazijaja watu walikuwa hawaoani na kufunga ndoa ama mpaka Uende kizungu ndo ujione Uko sawa.Nawaza jinsi gani nitafunga ndoa bila kuingia kanisani, kama ni lazima basi ni hicho tu kitanirejesha huko... japo nitawekewa vikwazo kama vyote!
Daah Kajamaa kalipiga 'takoling' afu kakaunguruma kama Simba.Mwali, hivi ukiwahi kubahatika kutazama kile kipande cha movie alio ifanya askofu Rashid..??
Yes wenye dhambi ndiyo wanaotakiw hasa... yesu mwenyewe alisema"Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi ili wapate kutubu."Ww ndio una vuruga kabisa kwaio ww wataka kusema wenye midhambi pale kanisan ndo wanahitajika
Mchungaji yupo madhabaun anaomba chawi liko apo apo
Kuna jamaa angu huku katombew* mke na mchungaji tena wa KKKT na huyo mchungaji ni maarufu sanaa..Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Hao hoo wazungu kule Congo wakati King Leopold anawakata na kuwaua watu kisa wameshindwa kukusanya utomvu wa rubber wa kutosha, eti mchungaji anakuja kusalia mtu kabla ya kunyongwa au familia yake kuteketezwa. Hawakuwa na guts za kukemea alichokuwa anafanya King Leopold. Ile ilikuwa tu biashara kama biashara nyingine. Sijawahi kusoma popote kama hizi dinizilishiriki kuwazuia wazungu wasitugeuze watumwa na kututumikisha.Unaacha kwenda kanisani kwa sababu hutaki kumtolea Mungu, baadaye unaenda kununua changudoa. Ole wako wewe mtoa pist na wanaokuunga mkono. Hata wazungu walipoleta injili Afrika kuna watu walitoa pesa yao huko Ulaya.
Hofu ya jehanamu iliponiisha,nikaacha kwenda kanisaniHuwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).
Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.
Nini sababu yako?
Dahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
Kwani kabla ya hizi dini hazijaja watu walikuwa hawaoani na kufunga ndoa ama mpaka Uende kizungu ndo ujione Uko sawa.
Assume hakuna wazungu waliokuja afrika.
Hatupaswi kuwahukumu watumishi wa Mungu maana hukumu ni juu yake yeye mwenyewe. Jukumu letu ni kuwaombea watende kazi zao vizuri, usiinue kinywa chako kuhukumu
Et!!! Kuangalia urembo wa asili walioumbwa nao wanawake si dhambi pia ni dawa inayotibu msongo wa mawazo.Hapo ninatilia mashaka na afya yako ya mwili au akili.
Hakuna mwanaume 'timamu' anayelaani kuangalia mwanamke mzuri hapa duniani.
Kuangalia urembo wa asili walioumbwa nao wanawake si dhambi pia ni dawa inayotibu msongo wa mawazo.
Nimeshangaa sana kukutana na comment kama hii itokayo kwa mtu mwanaume anayedai kulaani kuangalia
Kweli ndugu, kama kiongozi wangu wa kiroho ndo huyu nina sababu ya kufanya ibada kivyangu - kabisa.Mtu kama Sylvester Gamanywa anakuwaje kiongozi wangu!
Yule mchaw hakwenda kanisan kutubu alienda pale ili kujusafisha nachon kwa watu na ndivyo ipo ivo kuna watu wanaenda kanisan kujisafisha tu nachon kwa watu huyu mchaw ambae ni wakala wa shetan inashindikana hata mchungaj kumshtukia wachaw huna wanawapima iman zenu wakigundua hpo kanisan kwenu hamba kitu wanakuja kibao mnaxonewa apo apo nyiny hamuon na mabiblia mmeshika lkn iman zenu ni habaYes wenye dhambi ndiyo wanaotakiw hasa... yesu mwenyewe alisema"Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi ili wapate kutubu."
Siendi kwenda kanisani wala msikitini kwa sababu hizi dini ni man made, sie tumedanganywa tu.Huwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).
Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.
Nini sababu yako?
Eti zoezi mtambuka [emoji1][emoji1]Hata mimi kweli sijaacha kwenda church, ingawa askofu Rashid aliperform kwenye lile zoezi mtambuka...[emoji23][emoji23]
Nikikutana na mdada mzuri Kama ww kanisani ____________#######🏃Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!