Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Hakuna viongozi wa dini tuna wanafki tu nimeamua nisali nyumbani
 
Kama umeacha kwenda na unamwabudu Mungu kwa roho na kweli basi Mungu akubariki. Lakini maandiko yanasema " .....msiache kukutanika ..." Kanisa linapaswa kujiendesha lenyewe ni lazima lijengwe na waumini, na sio muda wote panakuwa na michango mingi.

Nikuombe ndugu yangu kama muumini wa kristo tafuta sehemu sahihi na ukamwabudu Mungu huko, kwa usalama wa roho yako. Kwa nn unapenda kuweka imani yako wazi? Mungu akusaidie upate sehemu sahihi ya kuabudu.
 
Niliwai.kwenda kanisani...nikiwa naumwa...Ndugu Yangu aliniconvince na sikua na imani ..Sana wakati huo.

KHAAAAA niliyoyaona huko [emoji16][emoji16][emoji16]...watu kuanguka..kushikwa vichwa...mchungAji anasema mtaa huu unawachawi Sana...NK..
ila mafundisho yalikua yakutia moyo ..

LOOOH Mwenyezi Mungu niongoze nisijetoka katika dini ya kweli na Haki.
 
Kuna kipindi nilikuwa namtazama mzee wa upako nikawa nakubali sana zile nyimbo zake basi tukashauriana twende tukawe tunasali huko... Mara ikawa siku akitoka nyumbani ana stress anaanza kumsema mke wake hata dakika 40 jukwaani, mind you mke wake sikuwahi kuona akihudhulia pale kanisani. Akawa anamsema vibaya sijui nini. Siku nyingine akawa anamsema Ngwajima.

Kipindi cha uchaguzi akawa anampigia kampeni Lowassa kanisani. Hata baada ya uchaguzi akawa anamsema Magu kuwa wamemwibia Lowassa.

Siku moja Magu akatimba pale church bila taarifa, na akasema watengeneze barabara ya kuja huko. Mzee akaufyata mpaka leo ana praise na kuworship juhudi.
Nikamuona mzee msanii tu.
 
Kwaiyo wewe usienadhambi ndo unatakiwa huko kanisani?
 
Hamna Jambo lilinishangaza Kama hili...Aisee.

Ila Hi haitufanyi tuache ibada... Na kutafura radhi za Allah..kila mmoja anamalipo yake huko siku ya kiyama
 
Dahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
10. Tegemeza jimbo.
11. UWAKA
12. Ujenzi was Goroto/Gloto
13. Ulinzi
14. Padri anaenda masomoni
15. Mchango wa mfuko wa Papa wa uinjilisti
16. Mfuko wa kusaidiana wana jumuiya
17. Mchango wa kwenda hija
......
20. The list goes on ...
 
Kanisa katoliki Tanzania limejinasibisha na siasa za kimafia za CCM hivyo halina moral authority ya kuongoa nyoyo za watu na wanastahili kudharauliwa na majoho Yao ya kijivuni wanafiki wakubwa mibaba mizima haifanyi kazi mnasubiri sadaka na hela za CCM watu wa ajabu kabisa nyie maaskofu wa kanisa katoliki Tanzania.
 
10. Tegemeza jimbo.
11. UWAKA
12. Ujenzi was Goroto/Gloto
13. Ulinzi
14. Padri anaenda masomoni
15. Mchango wa mfuko wa Papa wa uinjilisti
16. Mfuko wa kusaidiana wana jumuiya
17. Mchango wa kwenda hija
......
20. The list goes on ...
21. Sabuni ya kufulia nguo za padri. Pumbaaav kabisa tec
 
Dah! umepiga kwenye mshono
 
Ww ndio una vuruga kabisa kwaio ww wataka kusema wenye midhambi pale kanisan ndo wanahitajika

Mchungaji yupo madhabaun anaomba chawi liko apo apo
Wewe mzinifu..na kuwashika wadada Bila idhini yao...ndo unajiona unasifa za kumuomba huyo mungu...na Kuhubiliwa na mchungaji?

Kama Mama kaacha UCHAWI kamarudia Mungu?
Usihukumu ukaona Zambi za WENGINE kuubwa na mbaya Sana...alafu zakwako ukaziona Kama nyepesi za Sufi..

Hakuna mtakatifu aliyeishi chini ya Dua...sidhani Wala Siamini Kwamba hao mitume walikua watakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…