Ndogo ndo Nini?....Kama Wewe unapenda hayo Mambo...unwajumuishaje wote..Nawaambia ndg zangu,tatizo la waislam kwa sasa tunapenda ndogo twapenda saana ndogo mpk shetan anatukwepa huko jehanam-Ustaadhi.
Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
KUOKOKA ni kule kujijua kuwa wewe ni mwenye dhambi kisha ukachukua hatua ya kumwamini Yesu ya kuwa alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu kwa ajili ya dhambi zako. Unapomwamini Yesu dhambi zako zote zinafutwa na unaaanza maisha mapya na Bwana, maisha ya ushindi!Kuokoka ni kitendo gani..?
ADahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
Nilimdharau sana yule mchungajiMchungaji hula kondoo na kondoo hula nyasi..
[emoji28][emoji28]
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
FbSisi tunaokwenda kila siku na tuliojiapiza kuifia imani yetu tunakoment wap
Yes tulichomlaumu yeye ni kutosubiri mgao wake halafu miezi km minne Mchungaji akata kufanya uzinifu na sister hadi wa leo hajawahi kanyaga kanisani hapoMaana yake mlipata mil 50 lakini alikosea angesubiri mpaka apate mgao wake ndo angeenda kutoa zaka...hapo alikosea. Lakini hii isikufanye kuacha kwenda kanisani...Mungu amekupa vingi vinavyozidi hiyo Mil5
Hii imechangia sana kwa upande wangu hata jumuia siendiDahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
pilau ishaliwaKina shekhe alhad [emoji57][emoji57]
Hao washirika wana mbingu?Maamuzi tu japo si sawa ila washiriki wamezidi unafiki
Saidia JimboDahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
Hawana ila basi tuHao washirika wana mbingu?
Mh!Huwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).
Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.
Nini sababu yako?
DuhDahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
Point.Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!