Kwanini Ukristo (Ukatoliki na makanisa washirika ) waliamua kuchinja watu?

kwann tuende mbali haya ya leo huyaoni ? je kuna faida gan kuacha haya ya alshabab , boko haram , al answar , is central africa , halaf tujadili mamb ya zamn kbs , au hayo ya wakristu kueneza ukristu huko baran kwao( maana haikuwa nje ya ulaya kama Mohamed aliua waafrika magharibi na kaskazin kueneza dini yake ) je hayo ya crusade baran ulaya yanahalalisha chochote wanachofanya akina alshabab , boko haram au is central africa au janjaweed au al answar kwa kuua na kuchinja waafrika wenzao
Mohammed gani alikua waafrika magharibi!?..lini!?
 
Hao wapagani ulikuwa na haki gani ya kuwarazimisha ukristo wenu.
walipingwa kwa matendo yao na sio kwa upagan wao , mbona hujibu juu ya hezbollah , taliban , alshabab , is central africa hawa wamechinja mtwara hapo , al ansar , adf , boko haram , janja weed etc hawa pia jihadism yao ni sahihi kuchinja watu?
 
Dini kuu mbili yaani Ukrisito na Uislam vilipata nguvu kwa sababu ya upanga hilo halina shaka na yeyote atakaye bisha juu ya hilo ni mwenda wazimu.

Ila waroma walivunja recod ya mauaji ya watu wengi hapa duniani na sidhani kama kuna watu watakuja kuvunja rekod yao, maana waliuwa mpaka wakristo wenzao ambao halijaribu kuhalihasi kanisa katoliki.

Wakatoriki waliivamia bara la America na kawanagamiza mamilioni ya wahindi wekundu.

Na pia katika miaka ya hivi karibuni kanisa limekuwa likihusishwa na kashifa mbovu za mauaji mfano mauaji ya kimbali nchini Rwanda.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa Ottoman kipaumbele chake kikubwa kilikuwa ni kutanua imaya yao, suala la dini walikuwa hawalipi nguvu sana kiivyo na ndio maana ndani ya Ottoman kulikuwa na wakristo na wapagani kibao na hawakuwahi kuuawa ,tofauti na upande wa utawala wa waroma ambao wapagani walikuwa wana uawa.
Thibitisha hili kwa uislam
 
walipingwa kwa matendo yao na sio kwa upagan wao , mbona hujibu juu ya hezbollah , taliban , alshabab , is central africa hawa wamechinja mtwara hapo , al ansar , adf , boko haram , janja weed etc hawa pia jihadism yao ni sahihi kuchinja watu?
Taliban na jeshi la marekani Wana tofauti gani!?..Tena Bora Taliban wanapigania taifa lao,marekani kazi kuua watu wa taifa jingine,na bush alitangaza ni crusade/Vita vya msalaba
 
Ngoja niwalete Your Friendly Narcissist na Marco Polo na Maghayo huenda wana majibu.

Nawaleta kwenu kwa udhamini mkubwa wa hii verse..View attachment 2779970
Kilichoandikwa hapo ni sawa kabisa, ni maelekezo kutoka kwa Mungu kwa mfalme wa kwanza wa Israel "Sauli".
Ukikata kuelewa vizur soma Sura nzima, kusoma mstari mmoja hautaelewa kitu, hujui waamaleki walimfanyia nn Mungu na waliwafanyia nn waisraeli hadi Mungu akaamuru hio hukumu juu yao.
Soma sura nzima ndo utapata the full picture.

Ukimaliza kusoma, njoo tudiscuss kwann Mungu mwenye upendo aliamuru watu wauliwe tena hadi watoto.

Mm ni mtu ambaye siogopi maswali kuhusu imani yangu, sio kama wakristo wengine ambao wameridhika.

Mm bado natafuta kujua ukweli, kama una maswali ww lete mzee.
 
uliza kwanza ni watu wa wap , ilikuwa ulaya huko huko wala si Afrika ila leo hii uslam umesababisha maafa dunian kote , kasoro latin amerika ndo kidogo hakuna ushetan wa uislam maana kule walidhibiti huu ushetan
Hao wakatoliki walichinja watu wengi ukilinganisha na alshabab ni kama alshabab wanatania.
 
Hao walio chinja watu hawakuwa Wakristo hakuna popote Ukristo unalazimishwa ilikuwa ama uwe Islam au Mkatoliki
Hebu waulize wakatoliki wenzako hili, maana wewe inaonekana lilikupita kushoto.

Mlichinja watu wengi sana hiki wanachofanya Al shabab ni kitu iidogo sana ukilinganisha na mliyofanya nyinyi tena zama hizo.
 
Lakini hakuondoi ukweli kuwa wakristo wa sasa duniani kote ni zao la kanisa katoliki.

Bila utawala wa waroma kushika upanga kuieneza huo unao uita Ukatoliki nadhani ww hapo huo ukrisito wako wa kweli usinge kufikia.
Dini siyo kitu cha kukaa na kujisifia, tunajisifia imani zetu na matendo yetu mema,

Ukristo ulianza kabla ya huo ukatoliki, so unataka kusemaje?
 
Ukristo ni wote walio mwelewa Yesu na kushika mafunzo yote ya Yesu hao ndiyo Wakristo. Roma baada yakuona vuguvugu la wa fuasi wa Yesu limepamba moto na ni ngumu kulizuia watumia mbinu kujidai na wenyewe wameokoka na kubatizwa na kuingia kwenye Ukristo na kwa vile wao ndiyo walikuwa watawala wadunia kanisa lao likapata wafuasi wengi na kujiita Catholic kwa maana ya Universal.

Kwahiyo hata leo unaweza kuona namna walivyo tofauti na Yesu mwenye hata wote walio kuwa wanawapinga waliuliwa kwa adhabu kali kama kuchomwa moto wakiwa hai nk. hata wote waliokuwa wanafundisha ukweli wa biblia kama msamaha wa dhambi ni bure na hauuzwi.

[ katoliki walikuwa wanawauzia watu msamaha wa dhambi zao yaani ukitaka kusamehewa dhambi unatoa hela ]

kwahiyo wengi walikufa na vita vita vingi vya kidini vilisababishwa na Vatcan hata dini bandia iliundwa ili itumike kama chombo cha mashambulizi pale yoyote atakae enda tofauti na vatcan hii ndiyo inatumika hata leo.
Ni kwamba Roman Empire haikuanguka yenyewe ilijibadili na kuwa kanisa katoliki na hii imewasaidia zaidi vile leo wameweza kufikia kila mahali kwa mwavuli wa dini kupitia ukristo.
Natamani kila mtu aelewe hiki ulichoandika hapa.
 
acha uongo mwendawazimu wewe.
 
Mzee Soma Tena ulichoandika Kisha Rudi nyuma kasome nilichoandika. Na ukifanikiwa kuja Kama Roman ilikuwa kanisa kabla au baada ya Yesu rudi tusemezane.
We kalia kukaza fuvu na kuhisi ni wachungaji ndio walionifunza haya.
Sijui wewe umefundishwa na Nani ?
Maybe nahisi bado hujaelwa Point yangu Nilichosema na ninachokisema Siku zote Madhehebu yote yamediverge from Rome na hakuna hata moja ambalo halina mizizi kwenye catholic
 
Back
Top Bottom