Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa

aisee pole sana,nani alikwambia wanawake hua wanawapenda wanaume,wanawake woote ni wasanii tu,mimi nilishaacha kupenda,na usipowapenda utawala sana ,wanawake hawatakiwai kupendwa utaumia sana ndugu yangu mwanamme mwenzangu,wewe mtokee akizingua mwambie poa tusijuane na mawasiliano kata kabisa,nenda kwa mwingine ila wakati unawatokea usionyeshe kuwa umezimika kinoma,mambo ya i love u sana achana nayo usiwe kama wahindi mpaka wakimbizane kwenye maua.
fuata kanuni hii
fff[find,https://jamii.app/JFUserGuide and forget]
 
Miaka ijayo sijui tutakuwa na kizazi cha aina gani ikiwa hawa ndio wazazi.
 
espy,
sikiliza long time kitambo nilikua nawafagilia ana nyie,lakini baada ya kukutana na watu kama nyie,what they did o me, nawaona kama shetani tu mwenye mguu mmoja,its better nipige maji ya ilala tu,kulko kudeal na nyie,tena hata nikikuta dem anabakwa nawaambia tu wabakaji nyie endeleeni tu kwa rara zenu tu,
mnazingua sana nyie aisee
 
asikudanganye mtu, mwanamke ni sasa na mwezi, na sis wanaume ni sawa na jua, mwezi huaksi muangaza kutoka kwa jua, mwanamke yeyote yule anaambukizwa upendo, walio wahi kusugua ndara naamin wataniunga mkono kwa hakika..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wenye kutaka kuchota mahela kwako huwa unakutana na wafanyabiashara wa mili yao, mtu mwenye akili timamu na anayejithamini anayetamani penzi la dhati hawezi kukupima kwa kukuomba heraaa
 
NO MATTER WHAT

"MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…