ablekats619
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 124
- 193
lakin si ndo mto kagera huu apa kwetuJIFUNZE KUHUSU MTO NILE MKUU
lakin si ndo mto kagera huu apa kwetuJIFUNZE KUHUSU MTO NILE MKUU
Mjinga Kama wewe huwezi kuelewa ninachokisemaKwahiyo Tz ni waharibifu wa mazingira kuliko China na USA ambao wanalipa kwa sasa? Kama vipi tulipe.
Ni mjinga tu anaweza kuelewa sababu hii ikaeleweka kwake
Ninakubaliana na wewe juu ya CCM, lakini siyo kuhusu hiyo "kansa ya mguu."Hamna cha kujifunza popote, bila kuliondoa hili dude linaitwa CCM sio janga la umeme tuu bali tunaweza kukosa hata maji ya kumwagilia mchicha na pia ya kuoga.
Nchi ambayo viongozi wake wakuu wamekalia uongo tuu na wengine kama mazuzu wanashangilia bila aibu ni ya hovyo sana.
Tatizo ni CCM pekee, na ukipata Kansa ya mguuni dawa ni kuukata tuu la sivyo itakula mwili mzima. Tuiondoe hii kansa CCM ndio pona ya nchi na vizazi vijavyo
Nani kasema "Kisumu ipo Uganda"?Kisumu ipo Uganda??.
,Hadi nimeuliza hivyo ninamaanisha.Nani kasema "Kisumu ipo Uganda"?
Ufinyu wako wa kuelewa habari iliyoelezwa usiifanye kuwa ndiko kujua!
Watu wamekuwa wababe kwenye vyanzo vya maji kwani hujaambiwa juzi mwanza mkuuu.Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.
Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia nchi kuendelea kuzalisha umeme wa kutosha.
Tukajifunze.
sijui unaishi dunia gani mkuuUkame upo tangu Enzi za akina Ibrahimu , Isaka na Yakobo , upo tangu Enzi za nabii Eliya , Leo hii mtu anakuja na visababu et mabadriko ya tabia ya nchi aisee hii inchi ina viongozi vilaza Sana , Enzi za kikwete bwawa la mtera halikutumika Enzi za jiwe likatumika , few months baada ya kifo cha jiwe tunaambiwa Bwawa lipo out of range , mara crane ,mara mitambo yaan bla bla kibao, ili watu wafanye biashara huu uongozi Mungu anatakiwa auondoe madarakani mara moja pamoja na Wazir husika...sometime tuombeane Vifo tu
Hawana January, February and the likes.
Chanzo cha maji ya MTO naili niz iwa Victoria,kumbuka 3/4 ya maji ya ziwa Victoria yapo Tanzania kama shida in maji ya mito kukauka unaweza kutengeneza maporomoko ya maji kwa kutumia maji ya ziwa victoriaPamoja na swali lako kuwa zuri, lakini huwezi kulinganisha mto Nile na hivi vijimito vyetu hapa. Ukame wa kuathiri ujazo wa maji mto Nile ukitokea, basi sisi huku tayari rutakuwa kwenye hali mbaya zaidi, siyo kwenye umeme pekee, bali hata kwenye mambo mengine, hasa chakula.
Lakini kumbuka kwa nini Egypt yupo tayari kwenda vitani na yeyote anayetumia maji hayo ya Nile. Hujasikia akipiga kelele juu ya mradi wa Ethiopia?
Uganda wao wana tatizo jingine. Mabwawa yao yanasababisha mafuriko katika maeneo kama ya Kisumu na kwingine mvua zinapozidi kuwa nyingi. Kwa hiyo usidhani kwamba hata wao hawana matatizo.
Chanzo cha maji ya MTO naili niz iwa Victoria,kumbuka 3/4 ya maji ya ziwa Victoria yapo Tanzania kama shida in maji ya mito kukauka unaweza kutengeneza maporomoko ya maji kwa kutumia maji ya ziwa victoria
Unadhani hivyo?Hivi Nchi ilipofikia kuikomboa ni apatikane mtu aliye nje ya mfumo wa siasa za Tanzania aweke mifumo sawa
Naona umekwishapata jibu, ila unaona aibu kueleza ujinga uliokufanya kuuliza swali kama lile!,Hadi nimeuliza hivyo ninamaanisha.
Mkuu, 'Econometrician', hilo haliwezekani kabisa.Chanzo cha maji ya MTO naili niz iwa Victoria,kumbuka 3/4 ya maji ya ziwa Victoria yapo Tanzania kama shida in maji ya mito kukauka unaweza kutengeneza maporomoko ya maji kwa kutumia maji ya ziwa victoria
Hata wewe hujitambui kama mleta mada.Wakikupa jibu linaloeleweka niite.
Hamna swali la Kijinga Isipokuwa muulizwaji anaweza kuona la Kijinga kwasababu ya ujinga wake.Naona umekwishapata jibu, ila unaona aibu kueleza ujinga uliokufanya kuuliza swali kama lile!