Kwanini Twiga awe nembo ya Tanzania?

Kwanini Twiga awe nembo ya Tanzania?

Prior to 1916, Tanganyika was a part of German East Africa and used the flag of the Reichskolonialamt. In 1916, Tanganyika was taken from Germany as a result of the First World War and given to the United Kingdom as a League of Nations mandate. Upon Sir Horace Byatt becoming the firstGovernor of Tanganyika as a British mandate, he designed a badge of a giraffe on a white disk for Tanganyika. This was because of a custom of British East African territories adopting native animals as a symbol of national identity, with the giraffe being chosen for Tanganyika based on their ubiquity within the territory.
 
yap, kwa jins ulivyochambua kuhusu nyumbu ndo tulivyo wa-tz. Wengi wetu tumegeuzwa madaraja ya watu wengine sababu tu ya shida zetu zilizotokana na kufa mioyo.
 
Niliwahi kuambiwa kuwa twiga ni mnyama ambaye kiasili yupo tanzania pekee, mahali pengine ni kama amepelekwa tu, hivyo ni muwakilishi mahsusi wa utalii na ni ufahari kwetu.
 
ukija kwenye masuala ya elimu za wanyama,Twiga ni mnyama mwenye sifa nyingi zilizoivutia nchi yetu kumtumia kama kilinganishi katika masuala mbalimbali,hasa ya kidiplomasia,Twiga huwa ni mnyama mpole,mtulivu,pia huwa ana tabia yakuangalia usalama wake na wa wanyama wengine,ndio maana porini ni kawaida kumuona kumuona twiga akiambatanana wanyama wengine kwa ajili ya usalama,ni mnyama ambae anaona mbali sana,hivyo nirahisi kum spot adui hata akiwa mbali,adui ambaye hawez kuonekanana mnyama wa kawaida kama swala nk,SASA ukija hali halisi Twiga ni mnyama anaewakilisha Tanzania,nchi ambayo ina amani,upole nakujali mataifa mengine,tulipo pata uhuru hatukuridhika tuu sisikua huru,tuliwasaidia pia nchi zingine kujikomboa,ndio maana mpaka leo maraisi wastaafu karibia wote,niwasuluhishiwa migogoro yanchi mbalimbali,Pia tunatumia picha ya twiga kama kuitangaza Tanzania kiutalii kama Australia wanavyotumia kangaroo
Vipi kuhusu kwenda haraka kiuchumi, hapo twiga tutamtumiaje au tutaenda nae hivyo hivyo.
 
Niliwahi kuambiwa kuwa twiga ni mnyama ambaye kiasili yupo tanzania pekee, mahali pengine ni kama amepelekwa tu, hivyo ni muwakilishi mahsusi wa utalii na ni ufahari kwetu.
Hapana hakuna kitu kama hicho.Twiga wanapatikana na nchi nyingine za Savannah Africa nawana aina mbali mbali.Sisi Tz na Kenya tunao Masai giraffe
 
Prior to 1916, Tanganyika was a part of German East Africa and used the flag of the Reichskolonialamt. In 1916, Tanganyika was taken from Germany as a result of the First World War and given to the United Kingdom as a League of Nations mandate. Upon Sir Horace Byatt becoming the firstGovernor of Tanganyika as a British mandate, he designed a badge of a giraffe on a white disk for Tanganyika. This was because of a custom of British East African territories adopting native animals as a symbol of national identity, with the giraffe being chosen for Tanganyika based on their ubiquity within the territory.
Hii umeitoa kwenye internet! Kwani hakuna kumbukumbu iliyohifadhiwa kwa lugha ya kiswahili. Tena walioiandika watanzania? tungepata mchakato mzima wa kukopy na kupaste toka kwa mkolini ulivyokuwa.
 
Vipi kuhusu kwenda haraka kiuchumi, hapo twiga tutamtumiaje au tutaenda nae hivyo hivyo.
Hapo kwenye uchumi ndo tumefanana na twiga haaswa. alipotufikishaga mzee wa utandawazi na ubinafsishaji, tumebakia hapo hapo mpaka leo.
 
Hii umeitoa kwenye internet! Kwani hakuna kumbukumbu iliyohifadhiwa kwa lugha ya kiswahili. Tena walioiandika watanzania? tungepata mchakato mzima wa kukopy na kupaste toka kwa mkolini ulivyokuwa.

Samahani kama hukuelewa nilicho post. bahati mbaya mkoloni alipofanya maamuzi yake hayo alikuwa hajui kiswahili. Ila kama mtoa mada wa awali alivyosema huyo TWIGA hatukuamua sisi awe mnyama rasmi wa Taifa letu bali tulirithi kwa mkoloni. Hakuna namna ya kubadili ukweli huo labda leo tuamue kumbadili na kuweka mnyama mwingine.
 
Huyu mnyama alichaguliwa,labda na wakoloni kuakisi upole wa watanganyika nyakati hizo
 
Heshima kwenu wakuu.

Mataifa kadhaa duniani wamechagua baadhi wa wanyama kuwa nembo za nchi zao. Mfano Bald eagle (tai) ni nembo ya Marekani. Tai ni ndege anayepaa katika anga za juu sana kuliko ndege wote. Akiwa huko jicho lake linaweza kuona mbali hata mzoga wa sungura uliopo ardhini. Waamerika wanadai kwao tai anawakilisha nguvu, uhuru, akili na ujasiri wa kuona mbali.

View attachment 407552

Turudi hapa Tanzania. Mnyama wetu wa Taifa ni Twiga. (Giraffe). Neno giraffe limetokana na neno la kiarabu (xirefa) lenye maana ya anayetembea kwa maringo.

View attachment 407553

Je, kwanini wazee wetu waliamua kumchagua twiga?
Je, mchakato wa kuamua mnyama yupi atumike ulichukua miaka mingapi?
Je, kulikuwa na wanyama wengine au ndege waliopendekezwa zaidi ya twiga?
Je, watoto na wajukuu wetu wakitaka kujua habari kama hizi watazipata wapi? watazisoma wapi?

Nawasilisha.
Nikati ya wanyama wakubwa watano fahari ya Tanzania .1 twiga 2 tembo 3 kifaru 4 kiboko 5 simba ,pili ndio mnyama salama na mpenda amani, kwa tabia yake salama.ndio imepelekea chombo cha safari salama ,hao wanyama waliobaki washari tupu ukiweka ataa nembo yao ndege itaanguka iua bure
 
Heshima kwenu wakuu.

Mataifa kadhaa duniani wamechagua baadhi wa wanyama kuwa nembo za nchi zao. Mfano Bald eagle (tai) ni nembo ya Marekani. Tai ni ndege anayepaa katika anga za juu sana kuliko ndege wote. Akiwa huko jicho lake linaweza kuona mbali hata mzoga wa sungura uliopo ardhini. Waamerika wanadai kwao tai anawakilisha nguvu, uhuru, akili na ujasiri wa kuona mbali.

View attachment 407552

Turudi hapa Tanzania. Mnyama wetu wa Taifa ni Twiga. (Giraffe). Neno giraffe limetokana na neno la kiarabu (xirefa) lenye maana ya anayetembea kwa maringo.

View attachment 407553

Je, kwanini wazee wetu waliamua kumchagua twiga?
Je, mchakato wa kuamua mnyama yupi atumike ulichukua miaka mingapi?
Je, kulikuwa na wanyama wengine au ndege waliopendekezwa zaidi ya twiga?
Je, watoto na wajukuu wetu wakitaka kujua habari kama hizi watazipata wapi? watazisoma wapi?

Nawasilisha.
Twiga kama nembo ya taifa anawakilisha yafuatayo:
1. Uzuri kutoka na rangi yake unawakilisha uzuri wa maliasili zilizopo ambazo zinaleta mandhari ya kuvutia. (Mito, mabonde, milima, mbuga za wanyama, uoto wa asili, bahari nk).
2. Upole. Twiga ni mnyama mpole hana makuu, huwezi kukuta twiga wanapigana wao kwa wao au twiga kushambulia wanyama wengine, tabia hii ya twiga inawakilisha hali ya kupenda amani ya watanzania.
Wakuu waliotangulia hawakukosea kabisa kumfanya twiga kuwa nembo ya taifa.
 
Basi umeshinda makuu. sasa rudi kwenye mada. twiga sio nembo, ni kitu gani as far as tanzania goes.
Nembo ya Taifa letu ni ile ngao ya bibi na bwana. Au kwa kimombo wanaita Coat of Arms. Twiga ni alama ya mnyama wa taifa la Tanzania, kama ilivyo ndege aitwae crane kwa Uganda.
 
Jibu sahihi kwa swali ambalo hukuulizwa. 'Kwa nini awe twiga na si mnyama mwingine?
 
Mkuu umesoma shule ya/za msingi wapi? Haya mambo mbona na level ya shule ya msingi? Tatizo wanafunzi wengi wa Bongo wamezoea kusoma kwa kukariri ili wapasi mtihani. Udadisi hamna kabisa. Ndio maana kwenye ndege zilizonunuliwa kuna picha ya twiga anakimbia halafu wachovu hapa wanasema ni kilema. Mtu amezaliwa Tanzania lkn hajui hata twiga anavyokimbia! Tumezidisha uvivu wa kufikiri. Back to topic: Uchaguzi wa mnyama/au ndege kama alama ya taifa lolote ni uamuzi wa Taifa husika. Ni kama wewe unapochagua mchumba. Ni wewe mwenyewe unaamua sifa zake na ni kwanini unapenda awe na hizo sifa. Mara nyingi mataifa huchagua mnyama anayepatikana kwenye nchi na ikiwezekana apatikane pale kwenye mazingira ya ile nchi tu . Kwa mfano USA wamechagua ndege tai na wana sababu zao. Hizi ndizo sababu zilizofanya wakamchagua: The bald eagle was chosen June 20, 1782 as the emblem of the United States of America, because of its long life, great strength and majestic looks, and also because it was then believed to exist only on this continent. (Bald Eagle, US National Emblem - American Bald Eagle Information). Na Tanzania wamemchagua twiga kwa sababu: The giraffe is a graceful animal whose long neck represents the ability to be visionary while still viewing the past and present. The giraffe reminds Tanzanians to increase their understanding by viewing life from all angles. The giraffe also reminds Tanzanians to use their strength and flexibility to align the physical, mental and spiritual as the giraffe. (National Symbols - Tanzania Zalendo)
 
Mkuu nashukuru.
Huo mtandao na zingine zilishazipitia. tatizo ni kwamba imeelezwa kidogo sana na inaonekana haijaandikwa na mtanzania. Nilidhani kuna kijitabu kina details zaidi.
 
Back
Top Bottom