Kwanini tung'ang'anie vyeti tusinganganie madawa?

Rafiki yake mkubwa alikuwa riz. Hivyo mnawaona watanzania wajinga sana. Kitu kibaya tunachofanya ni jamani tusiseme tusije tukamharibia mtu. Magufuli ametufundisha tuwe jasiri na tuongee, na watu sasa wanaongea lakini hataki kusikia.

Hiko cheti kianzio tu. Huyo Bashite sio mtu bright na matukio yanajionyesha. Uende kuvamia sehemu bila kukumbuka kuhusu camera. Naona ilikuwa Shock kuona ile clip. Unachukua magari ya serikali na ya "wauza unga" hufikirii kabisa ownership inaweza kuwa traced. Naamini hapa kuna evidence zaidi hata kuliko shutuma alizomnong'oneza mh mpaka Kabwe akatumbuliwa.

kitu ambacho ungeniambia na kukuelewa ni kwamba kuna ukomo wa kushtakiwa kosa Hilo la jinai. Mathalani ikipita miaka kumi basi hatuwezi kumshtaki. Twende kisheria zaidi.
 
 


Issue ni kuwa wanaopigana vita ya madawa ni wengine, Makonda Sio mpiganaji wa madawa ya Kulevya, alikuwa na issue zake binafsi. Tanzanians are not fool. Hilo ndio husilolifahamu
 
Utaachaje mambo ya vyeti wakati kuna waTz wamefukuzwa kazi kisa vyeti??yeye aachwe Kama nani?
 
Wazo zuri sana la kizalendo. Yaani nguvu inayotumika kudai vyeti kama ingetumika kuwaumbua wauzaji mpaka sasa tungekuwa tupo kwenye nafasi nzuri ya kutokomeza biashara hiyo haram nchini.

Ni wazalendo tu ndio wanawaza kama wewe. Asante
 
Suala ni uovu wa bashite na sio vita dhidi ya madawa ya kulevya inayoongozwa na kamishina Sianga.
 
Safi kabisa, vyeti vimetajwa baada ya yeye kuanza vurugu (nasema vurugu maana wote aliowataja hakuna aliyeshitakiwa) za madawa ya kulevya.

Hili ni somo kwa viongozi wetu. Wawe waadilifu na wasafi ndo wataweza kupambana na rushwa, ufisadi, madawa n.k. haiwezekani uwakomalie wengine wakati wewe umeiba cheti, umefoji jina n.k.
 
Wewe nga 'ang'a nia madawa.. Tunaijua mchezo tumekaa kimya,,watu kupitia mwamvuli wa madawa wanapiga pesa na magari ya kifahari
 
Hapo ndipo uelewe they so called Great Thinkers!?!?! Yaani Madawa ya kulevya wameona sio siiue kabisa. Halafua bila kujielewa wnegine wanawasindikiza wengine bila kijielewa kwa kushikwa akilili zao na hao wanaouza madawa ya kulevya! Hawasikki hawaoni hawajali athari za madawa ya kulevya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…