Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,348
- 193,321
Hakika... naomba nitende wema kwako alafu niende zangu...Nakazia
Hakika... naomba nitende wema kwako alafu niende zangu...Nakazia
😂😂😂Hakika... naomba nitende wema kwako alafu niende zangu...
Siku nyingine ukiuliza swali usitoe majibu. Uliza swali tulia tukujibu.Nataka kufahamu tunaowa kutimiza maandiko au ni kuendeleza utaratibu tulio urithi kutoka kwa mababu zetu?
Kama lengo ni kuzaa na kuijaza dunia hilo linawezekana bila kuowa.
Kumekuwa na matukio ya kuvunjika kwa ndoa nyingi zikiacha maumivu na hata vilema kwa kila upande.
Mimi naona ndoa za mikataba zipitishe na sheria iwepo kusimamia malezi mana kweli ndoa nyingi zimeshidwa kustahimili mikiki zimekuwa zikivunjika na haitoshi zinaleta mpaka madhara kuuwa wenza hata watoto!!!!