Kwanini tunaoa?

Kwanini tunaoa?

Wewe kama huna mpango wa kuoa maisi mwako wala usingaike kutafuta sababu kwa nini tunaoa kwani hakuna sababu moja na yenye kufanana kwa watu wote kwa nini wanaoa.
Hata wasiooa nao wana sababu tofauti.
Pia tafuta kwa nini huyu mwamba James Buchanan (rais wa 15 wa Marekani) hakuoa kabisa maishani mwake
 
Mkuu we Kama hautaki kuoa usishauri wengine wasioe

Akamuumba mwanaume na akamfanyia wa ubavu wa kufanana nae

Tulia kabisa
 
Ni utaratibu wa binadamu.

Hakuna lolote la maana.
 
Mkuu we Kama hautaki kuoa usishauri wengine wasioe

Akamuumba mwanaume na akamfanyia wa ubavu wa kufanana nae

Tulia kabisa
Akasema,ukiweza kuishi kama yeye ni vizuri, lakini ukishindwa kuishinda tamaa ya mwili basi oa.

WAKORINTO 7 [emoji3526]
 
Basi ilikutosha kuuliza tu kwanini tunaoa??.

Mtu ni tofauti na mnyama katika mambo mengi sana na tofauti hizo ndizo zinamfanya aitwe Binadamu vinginevyo bila ndoa basi watu tungeishi kama wanyama na tungejamiiana mithili ya mbuzi, kuku, Punda nk kiholela na ingekuwa ni kawaida kwa Mama kuoana na mtoto wake au baba kuoa binti yake na machafu kadha wa kadha ya aina hiyo hiyo yangetokea, basi ni Mungu ndiye aliyetuwekea sheria za kuoa na miiko yake kwamba nani aoe nani na nani asioe nani ili kujenga jamii bora yenye ustawi na afya.

Hivyo kuoa si kuoa tu bali kuoa kuna ambatana na masharti yake.
Vipi kuhusu jamii ZINAZO ruhusiwa kuoa Dada zao,binamu, shangazi,wajomba zao[emoji18]
 
Vipi kuhusu jamii ZINAZO ruhusiwa kuoa Dada zao,binamu, shangazi,wajomba zao[emoji18]


Kwasababu gani mtu inakatazwa kuoa mtu wanayechangia damu moja??, kibaiolojia damu zikifanana mnaweza kuzaa mtoto mwenye matatizo makubwa ya kiafya, anaweza akawa Zombie nk, na ndio maana hata wataalamu wa mifugo (kwa wanyama) siku hizi wanajaribu kuepusha uzao wa damu moja kujamiana ili kupata kizazi bora kisichokuwa na madhara ya kifya kama magonjwa ya kurithi ya kijenetic nk, basi sio vyema ndugu wa aina hiyo kuoana kwani ni risky chances za kutokea mambo hayo niliyoyataja na kama inashindikana (under forced circumstances) kupata mwenza nje ya damu yako basi sheria za dini zinaruhusu kuoa wenza wa aina hiyo ingawa nafasi ya hatari inakuwepo, kwani kuoa ni jambo bora kuliko kutokuoa kabisa.
 
Back
Top Bottom