Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,596
- 5,727
Sijui kwa wengine mimi kwangu sijaona ni yule yule tuMtu sahihi Hana expire date?
Sijui kwa wengine mimi kwangu sijaona ni yule yule tuMtu sahihi Hana expire date?
Haya mavitabu ya wazungu na waarabu ndio yanawapoteza
Endelea kuwafurahisha wazazi... yawezekana hujaanza kuishi.Hakuna ulazima
Kote huko mbali, nisingekuwa na wazazi nisingeoa. Nafanya kuwafaharisha tu
Umeandika vizuri sana mkuu, hujagusia dini bali akili ya kuzaliwa tu. Safi sana 👏Unapokuwa hai kaa tayari lolote linaweza kutokea maisha hayana guarantee sometimes tunauliwa hata na magari tuliyo yanunua kwa bidii zetu wenyewe.
Lakini haitafanya tusinunue magari maana hiyo ni side effect.
Kiufupi tunaoa ila kupata faraja, company na umoja, kwa kuwa tumeombwa ili kuishi in groups ambazo ndo ndoa ukiwa kijana unaweza usione umuhimu wa ndoa ila umri ukienda ndo utaona.
😂😂😂😂DahKuoa ni ubinafsi wa kutaka kusema changu peke yangu...
In reality kila mtu ni wa mtu yoyote yule...
Tushaambiwa tuijaze dunia, alafu tunaleteana mambo ya ndoa...😂😂😂😂Dah
Yani wewe
Sasa si ndiyo kujaza dunia kwenye ndoa..Tushaambiwa tuijaze dunia, alafu tunaleteana mambo ya ndoa...
Ni ubinfasi wa kuhalalisha chuki...
Wawili hamuwezi kuijaza dunia...Sasa si ndiyo kujaza dunia kwenye ndoa..
Unaopoa bebe moja Kali mnajaza dunia
Mnajaza mkiamua..unataka ukaze behewa eti?Wawili hamuwezi kuijaza dunia...
Kwani wewe toka uzaliwe ushapita na wangapi...
😀😀
Ukaza tu, hakuna muongozo...Mnajaza mkiamua..unataka ukaze behewa eti?
Embu kwanza nihesabu..Nitarudi na jibu😂
😂😂Ukaza tu, hakuna muongozo...
Ukimaliza hesabu zako nijuze nikuope muongozo...
Kwenye hesabu zako naomba niunge msafara...😂😂
Bado naendelea kuvunja vidole hapa..nitakujuza😜
HahahahahKwenye hesabu zako naomba niunge msafara...
Ni vizuri kama baada ya mimi kukawa kuna wengine pia, au kabla yangu pia wawe wengine...Hahahahah
Usijali..ila nakuona hapa uko mwishoni kabisa mwa hesabu zangu
Baada ya wewe Bado Kuna nafasi naziona hapa ..ila huu msafara😂😂Ni vizuri kama baada ya mimi kukawa kuna wengine pia, au kabla yangu pia wawe wengine...
Safi sana, kwa hali hii hatutasumbuana...Baada ya wewe Bado Kuna nafasi naziona hapa ..ila huu msafara😂😂
Mambo yangu nibaki nayo mwenyewe
NakaziaSafi sana, kwa hali hii hatutasumbuana...
Hakika, mambo yako baki nayo mwenyewe...