Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,344
- 3,022
Tunaoa ili tupikiwe, tufuliwe
Tunaoa ili tupikiwe, tufuliwe
Hakuna ulazimaUkipata mashine ya kukupikia na kukufulia je hutaoa??
Hakuna ulazima
Kote huko mbali, nisingekuwa na wazazi nisingeoa. Nafanya kuwafaharisha tu
Ndoa imeandikwa kwenye Agano la kale na Agano jipya pia imeandikwa.sawa maandiko yanasema tuowe laikini ni kama sheria za musa zulivyo badilishwa tunahitaji na hizi zilizo wekwa zifanyiwe marekebisho binadamu wamebadilika sana baada ya kuzitumia kwa miaka 2000 zinahitaji zibadilishwe ziende sawa na watu wa dunia ya sasa
Sio lazima kupatikana kwani nimepatikana zaidi ya kuishi kwa shida kipi kingine cha kujivuniaWewe kama wazazi wako "wasingefanya" ungepatikanaje??!!
Haya mavitabu ya wazungu na waarabu ndio yanawapotezaNdoa imeandikwa kwenye Agano la kale na Agano jipya pia imeandikwa.
Mwanzo 2 : 21-25
Mathayo 19:3-5
Sio lazima kupatikana kwani nimepatikana zaidi ya kuishi kwa shida kipi kingine cha kujivunia
HahahahaHaya mavitabu ya wazungu na waarabu ndio yanawapoteza
Hiyo elimu isiwe ya kimapokeoAisee!!, wewe unahitaji upewe elimu ya Roho ndipo utajua thamani yako kuliko unavyoijua.
Kwanza upate elimu ya roho ya kumjua Mungu, Muumbaji wako ndipo mengineyo yafuate.
Hiyo elimu isiwe ya kimapokeo
Ya kimapokeo haifaiElimu itoke popote ni sharti imfae mtu, hilo ndio muhimu.
Ni jamii ipi inayoruhusu kumuoa dada yako au shangazi yako?Vipi kuhusu jamii ZINAZO ruhusiwa kuoa Dada zao,binamu, shangazi,wajomba zao[emoji18]
Zipo ,fatiliaNi jamii ipi inayoruhusu kumuoa dada yako au shangazi yako?
Ya kimapokeo haifai
Zingatia muktadha wa mazungumzo uachane na chenga chengaElimu zote ni mapokeo, inategemea ni mapokeo ya aina gani.
Zingatia muktadha wa mazungumzo uachane na chenga chenga
Nilitaka kukuuliza piaMapokeo ni nin??--- tuanzie hapo.
Mtu sahihi Hana expire date?Kila mtu afanye anachoona kinamfaa,kwako yakidoda kwa wengine yananyooka,
Narudia ndoa ni tamu sana kama ukimpata mtu sahihi