Kwanini tunalipa mahari? Should be stopped!

Kwanini tunalipa mahari? Should be stopped!

Jamani Mahari iwepo:
sister zangu walikuwa 12:
wa kwanza: ng'ombe 50 ziliwekwa
wa pili: Ng'ombe 36
wa tatu: Ng'ombe 46
wa nne: Ng'ombe 25
wa tano: Ng'ombe 35
wa sita: Ng'ombe 27
wa saba: Ng'ombe 32
wa nane ng'ombe 28
hawa wanne waliobaki sijajua dau lao litakuwaje ngoja wamalize chuo tuone, ila mind you mie nimeoa mahahari ng'ombe 26,na kaka zangu 3 hakuna alieyeoa chini ya ng'ombe 24,na maisha yanaenda fresh tu

Ina fact mahari si biashara but ni sehemu ya kuonyesha unapenda na unajari na wala si kuhonga
kwa umasikini wa familia za kiafrica hii kitu haiwezekani kukoma alafu inauma sana umemtolea mahari kuuubwa alafu kitu yenyewe MTUMBA alafu kanakujan ndani kanaanza kanyanyua sharubu kama yeye ndo alitoa mahali
 
Jamani Mahari iwepo:
sister zangu walikuwa 12:
wa kwanza: ng'ombe 50 ziliwekwa
wa pili: Ng'ombe 36
wa tatu: Ng'ombe 46
wa nne: Ng'ombe 25
wa tano: Ng'ombe 35
wa sita: Ng'ombe 27
wa saba: Ng'ombe 32
wa nane ng'ombe 28
hawa wanne waliobaki sijajua dau lao litakuwaje ngoja wamalize chuo tuone, ila mind you mie nimeoa mahahari ng'ombe 26,na kaka zangu 3 hakuna alieyeoa chini ya ng'ombe 24,na maisha yanaenda fresh tu, ukiogopa kutoa au kupokea mahari basi bado haujawa na dhati ya kuoa au kuolewa, and mahari ni unaonyesha how you feel your expected couple - labda uwe hajatulia
Sio siri hata mimi siafiki kulipiwa mahari ila sina jinsi nilipieni tu
 
mi sioni kama mahari ni tatizo! tatizo ni ugumu wa maisha ndio umesababisha mahari kutopatikana kirahisi! kwa mazingira kama ya vijijini kule, huwezi kuoa binti wa watu bila kutoa ng'ombe, japo siku hizi cost zimepungua sana! unaoa kwa ng'ombe sita tu! wakati zamani bila kuwa na ng'ombe 60, mbuzi 30 na kondoo sawa na mbuzi hujaoa!

mi ntajitahidi hata kwa ng'ombe tatu nioe!

over!!!!!
 
kwahiyo unataka uolewe ,,si ndio?
 
Back
Top Bottom