Seli hufa kutokana na sababu nyingi, hivo kama kitu kinaitwa natural death ndo seli huchoka zenywe na kufa lakini pia zikisumbuliwa na kushindwa kupingana na usumbufu mwingine wowote hufaukisema tunakufa kwa sababu cell za mwili zinakuwa zishakufa , sasa vipi kuhusu watoto wadogo?? Cell zao zinakuwa zipo kwenye condition nzuri tu na wanakufa vile vile
katu, abadan haitowezaTunakufa kwa sababu seli hai zetu zinafika mda zinachoka na hufa.
Kwa nini sayansi haiwezi kufufua watu? Mpaka hapa tulipofikia bado sayansi haijaweza kumfufua binadamu na niseme wazi tu kuwa sina hakika kama sayansi itaweza kumfufua mtu au la katika wakati ujao.
Hahahahaa, haka kamada kazuri sana kataifunga midomo ya WASIOAMINI UWEPO WA M/MUNGU, nanina uhakika hawatochangia.Alaf kuna vifo vya aina nyingi ,ina maana katika aina zote hizo wana sayansi wameshindwa hata kifo kimoja kukirudishia uhai?
Umeona eehHahahahaa, haka kamada kazuri sana kataifunga midomo ya WASIOAMINI UWEPO WA M/MUNGU, nanina uhakika hawatochangia.
Nimeshakwambia hapo juu kuwa kwa sasa wanasayansi hawajafanikiwa kurudisha uhai kwa viumbe vilivyokufa.Alaf kuna vifo vya aina nyingi ,ina maana katika aina zote hizo wana sayansi wameshindwa hata kifo kimoja kukirudishia uhai?
Kufa na kutoamini au kuamini mungu kuna uhusiano gani?Hahahahaa, haka kamada kazuri sana kataifunga midomo ya WASIOAMINI UWEPO WA M/MUNGU, nanina uhakika hawatochangia.
Mimi nataka watumie sayansi yao kufufua wafu ,mfano kama tatizo la moyo kusimama na kupelekea mtu kufa nataka nione hiyo sayansi kama watamuwekea moyo wa bandia ili maiti aamke , au si kuna zile mashine za kushtua moyo sasa kwa nini wanashindwa kuzitumia moyo ukisimama moja kwa moja , au si huwa wana wabadilisha watu figo ili waendelee kuishi sasa kwa nini mtu akifa wanashindwa kumbadilishia figo ili aamkeHahahahaa, haka kamada kazuri sana kataifunga midomo ya WASIOAMINI UWEPO WA M/MUNGU, nanina uhakika hawatochangia.
Na hawataweza ,Nimeshakwambia hapo juu kuwa kwa sasa wanasayansi hawajafanikiwa kurudisha uhai kwa viumbe vilivyokufa.
Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?
Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
Kama hawatoweza kamwe basi hilo litakua limethibitisha kuwa kifo ni hatua ya lazima katika mzunguko wa maisha ya binadamu na hivyo basi haitoleta maana kuona watu wakizungumzia habari za ufufuko.Na hawataweza ,
Sasa kama Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake, tena kwa mapenzi ambayo mungu anampenda mwanadamu.Ili Tukachomwe moto,tukiishi milele shimo la moto litakosa wapangaji.
Survival for the fittest haisemi hivyo, bali inatumika pale ambapo kuna upatikanaji mdogo wa labda chakula, maji au hata malazi ambapo wale ambao wako fit ndio wana survive na sio wale legevu kama unavyosema weweKifo ni natural selection ,dunia ina uwezo Wa kubeba kiasi Fulani cha population kikizidi basi kunkuwa na natural selection alie weak ndio atakuwa selected
Uhusiano upo lakin mpaka uielewe vizuri hiyo post yote kwaujumla..!Kufa na kutoamini au kuamini mungu kuna uhusiano gani?
Asante sana kwa kunisaidia kumuelewesha huyoUhusiano upo lakin mpaka uielewe vizuri hiyo post yote kwaujumla..!
Mfano mtoa post alihoji kwenye post yake kwanini "gari likifa linaweza kufufuliwa kwakubadilishiwa kifaa kilichokufa lakin binadamu akifa kwasababu yafigo hawez kuhuishwa kwa kwakuwekewa figo zengine"
Nyuma yakifo kuna nini na nini siri ya uhai??
##hayo nimaswali magumu kwawasioamini uwepo wa m/mungu##
Mtoa posti yeye kauliza kwa nini watu tunakufa halafu wewe unaanza kuingiza habari za mungu. Hivi hamuwezi kujadili bila kumhusisha mungu?Uhusiano upo lakin mpaka uielewe vizuri hiyo post yote kwaujumla..!
Mfano mtoa post alihoji kwenye post yake kwanini "gari likifa linaweza kufufuliwa kwakubadilishiwa kifaa kilichokufa lakin binadamu akifa kwasababu yafigo hawez kuhuishwa kwa kwakuwekewa figo zengine"
Nyuma yakifo kuna nini na nini siri ya uhai??
##hayo nimaswali magumu kwawasioamini uwepo wa m/mungu##