Kwanini tunachambia mikono?

Nimekumbuka enzi za primary, kule shuleni kwetu Murutirima P/S, Nansio; wanafunzi walikuwa wakichamba kwa kutumia angle ya ukuta, te te te teh! Nawewe waweza jaribu method hii.

Hahaaaa, lazima walipata sugu ktk mstari wa Ikweta
 
..Maji yanakufanya utoke ukiwa msafi. Asilimia kubwa ya wanaotumia tissue pekee wanatembea na uchafu. Imagine mtu yuko hairy alafu anatumia tisuue tu, ni full kunuka barabarani.

Na hili joto la dar es salaam mwe!
 
mkuu mimi natumia kichwa kuchambia sio vibaya na wewe ukianza kufanya hivyo pia
 
Wet tissue zipo mkuu huna haja ya kutumia mkono.
 
Gloves za kuchambia?? Mwanzo wa watoto kuanza ku.jiti.a vidole kwa kisingizio wanatumia ko.ndo.mu hivyo ni salama.
 

Yawezekana wewe ni mmoja wa wale wanaoshindwa kutumia vyoo vya maji na hatimae kutumia majani ya miti ama makaratasi na kuziba tundu la choo ama sivyo unakunya porini/vichakani badala ya chooni.
 
Usitake kutushinda kama vip ukimaliza haja zako vaa usepe,usitumie maji wala tissue...maana unaonekana mchafu sana wew kias kushika kinyes chako mwenyewe unaona shida
 
wewe una umri gani kwanza...maada ya mtoto wa form one kabisa hii me ni doctor lakin siwez kukuelewesha zaidi ya vile unavyoelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…