Kwanini tulimuita Kikwete dhaifu na sasa tunamkubali?

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,116
Kuna hoja inajirudia mara kwa mara toka pande mbili za wana CCM na wasio wana CCM juu ya JK na JPM. Hoja yenyewe na wale waliompinga JK hadi kufikia kumuita dhaifu na sasa wanaonekana wanamkubali.

Majibu naweza kuyajibu kwa mifano ifuatayo.

Kama ulizoea kula wali maharage, ugali maharage na siku moja ukapelekwa meza iliyojaa mboga saba na vitu tofauti tofauti walai utabeza chakula chako cha awali. Kwani umepata chakula bora kuliko cha awali. Lakini unaonaje badala ya chakula cha awali ukaja ukapewa ugali na chumvi,Mhogo mkavu, kwa vyovyote utasema bora wali maharage na ugali maharage kuliko ugali na chumvi. Lakini hitaji lako sio hivyo ni meza iliyojaa mboga saba na mapochopocho.

Haiwezekani ulikuwa unasafiri kwa kutumia bodaboda kwenda mkoani umechoka unatamani ubadilishe usafiri unapewa baiskeli badala ya kupewa vx, kwanini usiikumbuke bodaboda yako!?

Wote mnaopenda JPM na mnamponda JK hata mara ya kwanza tulipompinga JK hamkuwahi kumponda so sishangai saa hizi mkiwa mnamuunga mkono huyu hapa.

Tulipinga safari za nje mlizitetea, amekuja huyu na kuzifuta mnamnanga yule kwa kumsema alizoea sana kuruka. Mbona awali hamkumpinga?

Sina sababu ya kuelezea sababu zinazotufanya tumkumbuke JK na kumpinga huyu. Hasa hasa suala uhuru wa kuongea na kufanya siasa. Kwanini tusimwone JK anafaa?

Tulitegemea aje mwingine aweke uwazi na uhuru zaidi sasa huyu anazidi kutunyima uhuru wa kukosoa. Bunge hataki liwe live.

Kesi za ajabu ajabu zinafunguliwa ili kutisha wengine wasithubutu kukosoa. Kwanini tusimwone JK alikuwa afadhari?

Mifano hiyo hapo juu na sababu chache hizi hapa zinatufanya tumkumbuke JK.

Lakini ukweli tulihitaji mtu bora zaidi ya yule wa awali ila imekuwa kinyume. Je, mmetuelewa tunaomkumbuka JK?
 
Usiseme ''tunamkubali'' sema ''Unamkubali''. Wengine Kikwete bado ndio rais wa hovyo kutokea Tanzania na ameacha nchi imeharibika, kila mahali ufisadi na watu wengi wamegeika wapiga dili na uvivu umezagaa kila kona.
 
Wanaomukuba Kikwete ni majipu. Watanzania waliteseka sana kwenye serikali ya Kikwete.. Kwa sasa tuna hail ngumu Tanzania kwasababu pesa zone zilizokuwa zinaibiwa serikalini ndizo zilikuwa zinatumiwa na wachache kujenga mansion. Tanzania ilikwa na false economy. Hoteli za watu binafisi serikali ndiyo manganite, sasa hawana wateja. Viwanja pesa za serikali ndizo zilikuwa zikitumika, hospitali ya Apolo India ni serikali ya Tanzania ndiyo ilikuwa ikiimantain, mizigo ilikuwa inaingia kwa wingi kwasababu kodi ilikuwa halipwi. Matokeo yake wagonjwa walikuwa wakilala chini watoto wanyonge wakikaa china. Shule zilikuwa hazina vyoo. Mwenye pesa alikuwa anaunua sheria. Tanzania ilikuwa ikielekea Zimbabwe. Nchi ilikuwa imeoza sijui Kikwete anajisikiaje tofauti ya uwongozi wake na Rais Magufuli. Ni aibu kubwa. Maisha yalikuwa magumu sana kwa walala hoi,kudhurumiwa ardhi zao, mwenye pesa ndiye anapewa sheria. Pesa za kodi anazolipa masikini. Kikwete alikuwa ni Rais wa matajiri na wengi wao majipu ndiyo wanaomumiss. Kikwete kwa kweli Kama kungekuwa na uwezo Watanzania waliopata taabu nyingi mikononi mwake wangependa kuonana naye kotini, koti mpya ya mafisadi. Na huu ndiyo ukweli. QUOTE="tikatika, post: 16947013, member: 43430"]Kuna hoja inajirudia mara kwa mara toka pande mbili za wana CCM na wasio wana CCM juu ya JK na JPM. Hoja yenyewe na wale waliompinga JK hadi kufikia kumuita dhaifu na sasa wanaonekana wanamkubali.

Majibu naweza kuyajibu kwa mifano ifuatayo.

Kama ulizoea kula wali maharage, ugali maharage na siku moja ukapelekwa meza iliyojaa mboga saba na vitu tofauti tofauti walai utabeza chakula chako cha awali. Kwani umepata chakula bora kuliko cha awali. Lakini unaonaje badala ya chakula cha awali ukaja ukapewa ugali na chumvi,Mhogo mkavu, kwa vyovyote utasema bora wali maharage na ugali maharage kuliko ugali na chumvi. Lakini hitaji lako sio hivyo ni meza iliyojaa mboga saba na mapochopocho.

Haiwezekani ulikuwa unasafiri kwa kutumia bodaboda kwenda mkoani umechoka unatamani ubadilishe usafiri unapewa baiskeli badala ya kupewa vx, kwanini usiikumbuke bodaboda yako!?

Wote mnaopenda JPM na mnamponda JK hata mara ya kwanza tulipompinga JK hamkuwahi kumponda so sishangai saa hizi mkiwa mnamuunga mkono huyu hapa.

Tulipinga safari za nje mlizitetea, amekuja huyu na kuzifuta mnamnanga yule kwa kumsema alizoea sana kuruka. Mbona awali hamkumpinga?

Sina sababu ya kuelezea sababu zinazotufanya tumkumbuke JK na kumpinga huyu. Hasa hasa suala uhuru wa kuongea na kufanya siasa. Kwanini tusimwone JK anafaa?

Tulitegemea aje mwingine aweke uwazi na uhuru zaidi sasa huyu anazidi kutunyima uhuru wa kukosoa. Bunge hataki liwe live.

Kesi za ajabu ajabu zinafunguliwa ili kutisha wengine wasithubutu kukosoa. Kwanini tusimwone JK alikuwa afadhari?

Mifano hiyo hapo juu na sababu chache hizi hapa zinatufanya tumkumbuke JK.

Lakini ukweli tulihitaji mtu bora zaidi ya yule wa awali ila imekuwa kinyume. Je, mmetuelewa tunaomkumbuka JK?[/QUOTE]
 
Usiseme ''tunamkubali'' sema ''Unamkubali''. Wengine Kikwete bado ndio rais wa hovyo kutokea Tanzania na ameacha nchi imeharibika, kila mahali ufisadi na watu wengi wamegeika wapiga dili na uvivu umezagaa kila kona.
Inawezekana IQ yako ni hovyo ndio maana ukamuona JK ni wahovyo.
Haiwezekani mkosefu wa akili akajua mema na mabaya.
Kumbuka hakuna kiongozi duniani atakae weza kumaliza shida za wananchi.
Ndio maana ya kubadili rais kila baada ya miaka muliojiwekea.
 
Nani kasema kuna rais duniani anayeweza kumaliza shida wananchi? Kutumia ubongo umeshindwa, na hata kusoma nako kumekushinda na unaamua kuongeza vitu ambavyo sikuandika?
 
Inaonekana wewe ni jipu haujatobolewa. Kikwete alikuwa siyo kiongozi Bali Bwana musafiri. . IQ yangu iko juu sana ndiyo maana ninatambuwa uwongozi mbaya na muzuri. . Wewe uliona wapi kiongozi kuachia kodi za wananchi kukusamywa na mafisadi? Nieleze kitu gani Kikwete amefanya kuinufaisha Tanzania? Mikataba mibovu?kuuwa viwanda? Macontainer kupita bila ushuru? Safari za Europe na Marekani? Wafanyakazi feki? Mtu yeyote mwenye IQ hawezi kutetea uongozi wa Kikwete pengine jipu langojewa kupasuliwa. Kama President Magufuli ameweza kugunduwa uwozo wote huu kwa muda mufupi aliyokaa madarakani, kwa nini yeye hakuweza? Basi wewe ndiyo IQ yako ya hovyo, or may be you are one of the beneficial of corruption, umeshiba shida za wengi hazikukufikia. Shida zilizompata Mtanzania wa kawaida hukuzipata. Rais habadilishwi kwasababu ulizozitowa wewe. Rais anabadilishwa kwa wakati wake ukiisha, bado wananchi wanategemea uongozi bora. Tunataka katiba mpya tuweze kumushitaki Rais akifanya makosa kama waliyoyafanya Marais waliopita. Tanzania ni ya Watanzania wote siyo ya watu wachache.
Inawezekana IQ yako ni hovyo ndio maana ukamuona JK ni wahovyo.
Haiwezekani mkosefu wa akili akajua mema na mabaya.
Kumbuka hakuna kiongozi duniani atakae weza kumaliza shida za wananchi.
Ndio maana ya kubadili rais kila baada ya miaka muliojiwekea.
 
Inaonekana wewe ni jipu haujatobolewa. Kikwete alikuwa siyo kiongozi Bali Bwana musafiri. . IQ yangu iko juu sana ndiyo maana ninatambuwa uwongozi mbaya na muzuri. . Wewe uliona wapi kiongozi kuachia kodi za wananchi kukusamywa na mafisadi? Nieleze kitu gani Kikwete amefanya kuinufaisha Tanzania? Mikataba mibovu?kuuwa viwanda? Macontainer kupita bila ushuru? Safari za Europe na Marekani? Wafanyakazi feki? Mtu yeyote mwenye IQ hawezi kutetea uongozi wa Kikwete pengine jipu langojewa kupasuliwa. Kama President Magufuli ameweza kugunduwa uwozo wote huu, kwa nini yeye hakuweza? Basi wewe ndiyo IQ yako ya hovyo, or may you must be a beneficial of corruption, umeshiba sida za wengi hazikukuusu. Shida zilizompata Mtanzania wa kawaida hukuzipata. Rais habadilishwi kwasababu ulizozitowa wewe. Rais anabadilishwa kwa wakati wake ukiisha, bado wananchi wanategemea uongozi bora. Tunataka katiba mpya tuweze kumushitaki Rais akifanya makosa kama waliyofanya Marais waliopita. Tanzania ni ya Watanzania wote siyo ya watu wachache.
Kama huoni aliyo yafanya Jk basi ww ni kipofu.
Nasiamini kama huyaoni mazuri ya Jk kama umeona yale yaliyo mshinda vipi usiyaone aliyo yaweza?
Labda nikuulize haya matano tu unijibu.

1;Jk aliingia madarakani alikuta serikali inakusanya kodi kiasi gani kwa mwezi na mwaka na aliaondoka madarakani serikali inakusanya kodi kiasi gani kwa mwezi na mwaka?

2;Jk alikuta barabara zalami km ngapi na ameacha km ngapi za lami?

3;JK alikuta shule za msingi na sekondari na vyuo vingapi na ameacha shule za msingi na sekondary na vyuo vingapi?

4;Jk alikuta vituo vya afya na zahati na hospitali za wilaya na rufaa ngapi na ameacha ngapi?

5;Jk alikuta wtz wangapi wana bima za afya na alikuta mashirika ya bima za afya mangapi na ameaacha wtz wangapi wana bima za afya na mashirika mangapi ya bima za afya?

Twende kwa takwimu nadhani tutafika tusiropokwe tu.

Narudia tena kukuambia kuwa hakuna rais atake kuja akamakiza shida za wtz kila anae kuja atafanya mazuri mengi na ataacha mengi yanayo hitaji kufanywa na atakae muachia.

Hii ndio falsafa ya kupokezana madaraka kila baada ya miaka tuliyo jiweka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom