Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,857
Pole mleta mada kwa kuchelewa kulijua hilo,humu JF ukitaka upate post za kutosha kwenye mada zako basi inabidi ujitoe ufaham,anzisha mada za kusadikika,mada ya kula tigo,mada za haufikishwi,mada za wali nazi,mada za mshedede na papuchi walahi dakika moja tu page ya kwanza ishajaa.
Kwa mfano; siku moja nikaleta mada inayosema Kutongoza mwanamke wa jf ni kama kusukuma mlevi tu.
nakuambia baada ya dakika tano page zitafika 3, kuanzia hapo nikajifunza kitu.
hata ukiangalia thread za SUPU YA MAWE utanielewa ninchokiongelea
Last edited by a moderator: