Kwanini thread za wanawake zinakuwa more influencial?

Kwanini thread za wanawake zinakuwa more influencial?

Duh wemwenyewe siajabu ukaambukuli kurasa moja maana toka saa 12:06Pm bado upo pale pale kwenye kurasa mja

Kwahiyo unakubaliana na anacholalamika mleta mada...? (Samahani lakini, kwa ku ku quote).
 
Angalia sasa na lugha unayoitumia. Hivi unategemea kweli mtu achangie kwenye thread yako. Upuuzi tu

poa kaka nimekuelewa but wengine tunakuja huku angalau tupate kaelimu tu ka kuishi na hao wanawake nachoitaji upevu wa fikra
 
poa kaka nimekuelewa but wengine tunakuja huku angalau tupate kaelimu tu ka kuishi na hao wanawake nachoitaji upevu wa fikra

Vizuri Jitahidi sana kupitia thread zilizoko kwenye sticky hapo juu. Ni mkusanyiko wa thread nyingi za zamani. Zenye kuelimisha na kujifunza pia.
 
Hapo chacha,au labda kunamashindano ya kujaza kurasa tumuulize embu mleta uzi

labda hujanielewa nia yangu sikutaka mtu ajaze kurasa... tatizo mtu anastart new topic afu unakuta hamna ata cha kujifunza kurasa zote ni ujinga ka tupo umri wa kwenye balahe ebu tutumie akili sisi watu wazima ka mtu anatoa cha kujenga sio kuandika ujinga mi inaniboa sana
nasoma thread za watu wengi humu lakini utakuta mtu ni kuandika mambo ambayo hayajengi ebu tutumie akili jamani mi ilikua inanikera nikaona na mm nianzishe angalau watu tujielewe.
 
Haya mkuu usijali chamsingi ushatoa lako LA moyoni
 
Kama thread zenyewe ndio kama hii unategemea nini!
 
hilo kweli kabisa kuanzia katkat ya mwaka jana kuna kundi la wavulana vilaza wanakuja na posti za hovyo kweli! Yaan pumba mpaka unawaza huyu mtu anafikiria kweli? Nafikiri hata mods ni miongon mwao

Cc Moderator
 
Last edited by a moderator:
Ukiangalia thread nyingi za wanaume ni kulalamika kuchunwa pesa, mara nimemuachia bili mchunaji, yaani zimekuwa za kitoto tofauti na zile za zamani. Wakati wanawake mfano Lara1 anaandika vitu real na currently vilivopo katika mahusiano ya sasa. Japokuwa ukweli huchukiwa na wengi.

Kwa mfano mwanamke usipotongoza wanaume wazuri utawalia macho tu.
 
Kwa upande wangu mi naona mada ni mada tu, sitofautishagi hii ya mwanamke au ya mwanume, kwanza hata sijui kwa sababu asilimia kubwa ya akaunti siyo halisi kwa hiyo hata sijali. Kama inanifaa kuchangia nitachangia kama hainifai napita pembeni.
 
Kumekuwa na topic ambazo zikiwekwa na wanawake zinakua more influencial.

Sasa cha ajabu akitoa topic mwanaume khaaa utakuta conversation ni only kurasa moja au nusu kurasa hiii mimi inaniboa sana wengine wadada wanatoa pumba afu watu wanavyofurahia pumba kama wajinga tubadilike.

Ni kweli. Na hii ni kwa sababu watoto wa Facebook wameanza kujaa JF
 
Pole mleta mada kwa kuchelewa kulijua hilo,humu JF ukitaka upate post za kutosha kwenye mada zako basi inabidi ujitoe ufaham,anzisha mada za kusadikika,mada ya kula tigo,mada za haufikishwi,mada za wali nazi,mada za mshedede na papuchi walahi dakika moja tu page ya kwanza ishajaa.
 
Ila kweli mada za Wadada zinaongozwa Kwa kuchangiwa humu and that's nature
 
kuchangia topic aliyoanzisha ke ni moja ya mbinu ya utongozaji hapa MMU hakikisha ume like kwanza alafu uki comment una mmention au quote thread yake mara nyingi uwezavyo very easy.

Hivi na mdada akiwa anaquote na kulike sana comment zangu huwa ananitongoza or what!!!!!!:A S 39:
 
Hivi na mdada akiwa anaquote na kulike sana comment zangu huwa ananitongoza or what!!!!!!:A S 39:
Sina uhakika mkuu lakini mara nyingi kwa wanaume ipo hivyo kwa sababu na mimi ni mwanaume hiyo ni njia nzuri ya kupata attention.
 
Back
Top Bottom