Kwanini thread za wanawake zinakuwa more influencial?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,833
Reaction score
6,890
Kumekuwa na topic ambazo zikiwekwa na wanawake zinakua more influencial.

Sasa cha ajabu akitoa topic mwanaume khaaa utakuta conversation ni only kurasa moja au nusu kurasa hiii mimi inaniboa sana wengine wadada wanatoa pumba afu watu wanavyofurahia pumba kama wajinga tubadilike.
 
Kama ni kupost pumba me ndo wanaongoza kupost pumba hum ndani

hilo kweli kabisa kuanzia katkat ya mwaka jana kuna kundi la wavulana vilaza wanakuja na posti za hovyo kweli! Yaan pumba mpaka unawaza huyu mtu anafikiria kweli? Nafikiri hata mods ni miongon mwao
 
Kumekuwa na topic ambazo zikiwekwa na wanawake zinakua more influencial.

Sasa cha ajabu akitoa topic mwanaume khaaa utakuta conversation ni only kurasa moja au nusu kurasa hiii mimi inaniboa sana wengine wadada wanatoa pumba afu watu wanavyofurahia pumba kama wajinga tubadilike.

Acha wivu na wanawake, mbona hujatoa mifano. Mlinganisho wako ukoje, unamaana same topic ikitolewa na ke au me wachangiaji wengi wana-post kwenye ke au inakuaje?
 
kuchangia topic aliyoanzisha ke ni moja ya mbinu ya utongozaji hapa MMU hakikisha ume like kwanza alafu uki comment una mmention au quote thread yake mara nyingi uwezavyo very easy.
 
sasa akiweka post wakafanya hvi wanaume kama 20 hv, kama akpost topic 3 kwa mwez atakuwa na waliofanya hv 60. Hiyo mitongozo si itamuua?
 
Acha wivu na wanawake, mbona hujatoa mifano. Mlinganisho wako ukoje, unamaana same topic ikitolewa na ke au me wachangiaji wengi wana-post kwenye ke au inakuaje?

mimi sio mchangiaji sana sema napenda kusoma thread nyingi tuu sema kama thread ni ya mwanamke afu kapost pumba utakuta zinaenda mpaka kurasa 27

mie sina wivu kabisaa wengine tupo huku kujifunza sio kujifubza pumba
 
Ukiangalia thread nyingi za wanaume ni kulalamika kuchunwa pesa, mara nimemuachia bili mchunaji, yaani zimekuwa za kitoto tofauti na zile za zamani. Wakati wanawake mfano Lara1 anaandika vitu real na currently vilivopo katika mahusiano ya sasa. Japokuwa ukweli huchukiwa na wengi.
 
sasa akiweka post wakafanya hvi wanaume kama 20 hv, kama akpost topic 3 kwa mwez atakuwa na waliofanya hv 60. Hiyo mitongozo si itamuua?
Mkuu hapo inatumika survival of the fittest ukiweza ku manage conversation kwenye thread yake you are likely to win ukiingia PM.
 
Kumekuwa na topic ambazo zikiwekwa na wanawake zinakua more influencial.

Sasa cha ajabu akitoa topic mwanaume khaaa utakuta conversation ni only kurasa moja au nusu kurasa hiii mimi inaniboa sana wengine wadada wanatoa pumba afu watu wanavyofurahia pumba kama wajinga tubadilike.

Sasa pumba kama hizi unataka wanaume tuchangie nini?

Hapa ni MMU na hizi pumba zako ungepeleka jukwaa la malalamiko, pita hivi.

Kama ulikuwa hujui wanawake ni watu wa hisia na wako really hawana muda wa kufakefake story.
 
poa arifu hiyo haina majoto au sio
one love
 
Duh wemwenyewe siajabu ukaambukuli kurasa moja maana toka saa 12:06Pm bado upo pale pale kwenye kurasa mja
 
Back
Top Bottom