security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Wakati kamati ya Bunge ikipatwa na mshangao wa deni la 482Bn kutokana na hasara za zitokanazo na uendeshaji wa ATCL, duh!Huenda linatengenezwa tatizo ili lijetatuliwa baadaye...
Huenda lilitengenezwa tatizo zamani na sasa ndio linatatuliwa...
Jiandae tu kutoa ujiko kwa watengeneza matatizo
Manunuzi yawarahisishia kukwapua helaLeo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana.
Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga nchini, Serikali imenunua ndege mpya 11 na 9 kati ya hizo zimeshawasili nchini huku 2 zikitarajia kuwasili muda wowote. Baada ya ndege hizo 11, Serikali sasa imenunua ndege zingine mpya 5 ambazo zitawasili mwaka 2023.
Mjadala ni mkubwa kuhusu ununuzi wa ndege hizi, Je kuna haja ya nchi yetu kuendelea kununua ndege na kuimarisha sekta nzima ya usafiri wa anga? Gazeti la HABARI LEO linapatikana nchi nzima popote panapouzwa Magazeti, fika upate nakala yako halafu ukafaidi huu mjadala wangu. Hutajuta.
Bwanku M Bwanku.
View attachment 1919987
According to The East African, the seizure of the Air Tanzania jet was carried out after Hermanus Steyn, a Namibian born farmer, claimed he was owed millions by the Tanzanian Government
Msomi uchwara jina tu linajielezaNi bora hio pesa ya ndege wangepewa tu wananchi yote
Si wanasema eti 'legacy'...Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana.
Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga nchini, Serikali imenunua ndege mpya 11 na 9 kati ya hizo zimeshawasili nchini huku 2 zikitarajia kuwasili muda wowote. Baada ya ndege hizo 11, Serikali sasa imenunua ndege zingine mpya 5 ambazo zitawasili mwaka 2023.
Mjadala ni mkubwa kuhusu ununuzi wa ndege hizi, Je kuna haja ya nchi yetu kuendelea kununua ndege na kuimarisha sekta nzima ya usafiri wa anga? Gazeti la HABARI LEO linapatikana nchi nzima popote panapouzwa Magazeti, fika upate nakala yako halafu ukafaidi huu mjadala wangu. Hutajuta.
Bwanku M Bwanku.
View attachment 1919987
....cha kupatia 10%Ndo kipaumbele
Hapa umemaliza mjadalaManunuzi yawarahisishia kukwapua hela