Naunga mkono hoja, nitamshauri Richard Kayombo, afungue account humu.Ilitakiwa TRA iwe na verified account hapa JamiiForums ili iweze kutujibia maswali ya namna yanapojitokeza
...
Cha kushangaza mpaka leo hakuna Income Tax Treaty kati ya Tanzania na Marekani.
...
Kuna masuala ya malipo ya royalty mfano kwenye shughuli kama za sanaa. Itakuwa rahisi sana kwa wasanii wa Tanzania kufaidika na kazi zao zinapotumika nchini Marekani. Sasa hivi sijui ni utaratibu gani unatumika kwenye suala kama hili. Badala ya kila siku kuja na sheria za kubana watu, embu mara moja moja tuje na sheria za kumfaidisha Mtanzania.
Kwa mfano, hii itawalazimu Watanzania waishio Marekani ambao bado hawajaukana Utanzania kulazimika kudeclare kipato chao kila mwaka kwa TRA na pia kulipa kodi ndani ya Tanzania kila mwaka.
KQ wanafanya waulize hasara wanayopata, Mmarekani aache kupanda Delta au Southwest kwenda Ulaya na kisha apande Emirates au Qatar kuja Afrika, kuna mikataba ambayo tunaweza kufaidika nayo lakini si ya anga ndege 2 ushindane na mababa yenye ndege zisizo na idadi+ huduma iliyotukukaNaunga mkono hoja, miongoni mwa mikataba tulio ingia na Marekani ni mkataba wa Anga Huria uliosainiwa na Mkapa na Bush ambao unaruhusu ndege za Marekani kuingia kwenye anga la Tanzania wakati wowote na sisi ndege zetu kuingia Marekani anytime, wakati huo Tanzania tulikuwa hatuna ndege zenye uwezo huo, sasa tunazo, tuzitumie kwa wafabiashara wa Tanzania kuzichangamkia fursa za Marekani kama ambavyo tumechamkia fursa za China. Kwa mkataba huu, Marekani is just like a next door neighbor, tunafanya safari za non stop Dar-NY-Dar, wenzetu KQ wanafanya.
P.
Pia itasaidia kujua takwimu sahihi zinazowahusu Watanzania walioko huko Marekani kitu ambacho kwa sasa hatuna. Tumekuwa tunafanya makongamano mbalimbali ya Diaspora kila mwaka tukiongelea fursa za uwekezaji na jinsi gani tunaweza kuwatumia Watanzania walioko nje kwa fursa za kiuchumi zilizoko Tanzania.
Naunga mkono hoja, miongoni mwa mikataba tulio ingia na Marekani ni mkataba wa Anga Huria uliosainiwa na Mkapa na Bush ambao unaruhusu ndege za Marekani kuingia kwenye anga la Tanzania wakati wowote na sisi ndege zetu kuingia Marekani anytime, wakati huo Tanzania tulikuwa hatuna ndege zenye uwezo huo, sasa tunazo, tuzitumie kwa wafabiashara wa Tanzania kuzichangamkia fursa za Marekani kama ambavyo tumechamkia fursa za China. Kwa mkataba huu, Marekani is just like a next door neighbor, tunafanya safari za non stop Dar-NY-Dar, wenzetu KQ wanafanya.
P.
You are providing right remedy to a wrong malady.
Issues za royalties ni za taasisi za sanaa, hakimiliki na hakishiriki kuwa na mahusiano na similar taasisi overseas. Lakini kumbuka business model ya kazi za sanaa ilishabadilika saana. Kwa sasa sheria za kwetu zimepitwa na wakati na uhalisia.
Kwa mfano, siku hizi muziki hauuzwi sana. Mtu unapewa access to an "all-you can eat" repertoire of music you can listen to. Most are ad-supported or subscription-based.
Ndio maana hata kauli za kusema miziki inayopigwa kwenye kumbi ilipiwe, iko based on pre-internet realities. Siku hizi za Spotify, Mkito, Mdundo, Youtube na distributors wengine, watu wanaweka nyimbo zao ili ziwe played bure... how do you want someone to pay for a service already paid for via shitariki au matangazo?
Ukienda Marekani, unapewa maximum visa ya miaka miwili -- ukiwa ni Mtanzania. Ukiwa ni raia wa nchi nyingine, say, Jamaica, unapewa visa ya miaka 12 or something like that... Nasikia jamaa wanareciprocate the favors we give to their citizens. Probably we may need to look at whether we want things to be like this, and react accordingly.
Je wakipatwa na misukosuko huko kama inavyoendelea SA, serikali yetu itawatambua na kuwasaidia? Kuna kejeli nyingi zinaandikwa juu ya wahanga wa kitanzania kwenye vurugu zinazoendelea huko SA
Income Tax Return wanafaidi wabunge wakurugenziKuna biashara kubwa inafanyika kati ya nchi hizi mbili na hasa toka kipindi cha Urais wa Kikwete tumekuwa kwenye msukumo wa kuwakutanisha wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani. Mfano ni hivi majuzi tu kuna kundi la wafanyabiashara wa Marekani walifanya mkutano na wafanyabiashara na mamlaka mbalimbali mjini Dar es Salaam.
Cha kushangaza mpaka leo hakuna Income Tax Treaty kati ya Tanzania na Marekani.
Kwa mtazamo wangu, hili jambo linaweza kuwa na faida kubwa sana kwetu. Kwa mfano, hii itawalazimu Watanzania waishio Marekani ambao bado hawajaukana Utanzania kulazimika kudeclare kipato chao kila mwaka kwa TRA na pia kulipa kodi ndani ya Tanzania kila mwaka. Tunaweza kuamua labda hii hela iende katika mfuko maalumu kwa ajili ya kazi fulani mfano elimu ya juu au ya msingi.
Hata Wamarekani wanaoishi nje ya Marekani wanalazimika kila mwaka wajaze fomu kusema wameingiza kiasi gani na wanalipa kodi huko Marekani hata kama wameishi mwaka mzima nje ya nchi yao.
Kuna masuala ya malipo ya royalty mfano kwenye shughuli kama za sanaa. Itakuwa rahisi sana kwa wasanii wa Tanzania kufaidika na kazi zao zinapotumika nchini Marekani. Sasa hivi sijui ni utaratibu gani unatumika kwenye suala kama hili. Badala ya kila siku kuja na sheria za kubana watu, embu mara moja moja tuje na sheria za kumfaidisha Mtanzania.
Pia itasaidia kujua takwimu sahihi zinazowahusu Watanzania walioko huko Marekani kitu ambacho kwa sasa hatuna. Tumekuwa tunafanya makongamano mbalimbali ya Diaspora kila mwaka tukiongelea fursa za uwekezaji na jinsi gani tunaweza kuwatumia Watanzania walioko nje kwa fursa za kiuchumi zilizoko Tanzania.
Takwimu ni zaidi ya kujua tu kuna watanzania wangapi walioko nje ya nchi. Inabidi kujua kipato chao, kazi wanazofanya, elimu yao, nk. Hatuwezi kuja na sera sahihi bila kuwa na takwimu sahihi.
Kwa haraka haraka hizo ni faida za kuwa na hiyo Income Tax Treaty lakini kuna faida nyingi zaidi zilizo direct na indirect ya kuwa na hii kitu.
Ilitakiwa TRA iwe na verified account hapa JamiiForums ili iweze kutujibia maswali ya namna yanapojitokeza
Hatujawahi kuwa wazuri sana kuwasaidia Watanzania walio nje ya nchi. Kiufupi mfumo wetu wa mambo ya nje unahitaji mabadiliko ya kimtazamo na ya kiutendaji.