Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,542
2,174

EPforR I ilitoa TZS 208b kwa JK mwaka FY2014|15 to 2020|21, why EPforR II imetoa TZS 196b kwa Rais Samia FY2021|22 mwaka mmoja baadaye,Je waligoma au hawakuwa na pesa?​


==============

Katika kile kinachotajwa kama Kuimarika kwa diplomasia ya Uchumi na ukuaji wa demokrasi na Utawala wa sheria nchini Rais Samia Suluhu Hassan apokea msaada wa Tshs 196bl kutoka nchi ya Sweden ( SIDA ) kwaajili mradi wa Education Programme for Results phase two ( EPforR II),

FY2014|15 Rais Jakaya Mrisho Kikwete rais wa awamu ya nne alipokea Tshs 208bl toka hukohuko Sweden kwaajili ya mradi wa elimu wa Education Programme for Result Phase One (EPforR I) ambao ulikuwa ni mkataba wa miaka mitano mitano yaani FY2014|15 hadi FY2020|21,

Swali langu kwenu,kwanini Swedeni (Sida) hawakutupa pesa hizi FY2020|21 kama mkataba ulivyoonesha na badala yake wametupa Leo FY2021|22 yaani mwaka mmoja baadae? Je, nikweli sasa dunia imekubali mapigo ya Rais Samia Suluhu juu ya Ujenzi mpya wa diplomasia kimataifa na ongezeko la nafasi kwa Watanzania kwenye Uhuru wa kujieleza, Uhuru wa habari na vyombo vya habari,Utawala wa sheria pamoja na demokrasi?

Je,Vipi kuhusu hawa mabwana watatu yaani Yule bwana wa Singida,Yule bwana wa Arusha na Yule bwana wa Bukoba|Kagera unadhani wazungu kwa kumpa Rais Samia hizi Tshs 196bl wameamua kutuma ujumbe gani kwao baada ya wao kuwazuia mwaka jana? Je,tusubiri wafukuzwe kama mbwa au tuwashauri warudi nyumbani kwa hiari yao kwakuwa Tanzania ya Sasa ni salama zaidi na wahisani wametambua yakuwa Tanzania kwa sasa ni salama pengine kuliko wakati wowote wa uhai wake,

Kama hawa jamaa walishavunja mkataba kwa sababu walizozijua wao, Je bila diplomasia ya Rais Samia Tanzania ingepata hizi pesa leo? "Tunaposema hakuna kama Samia lazima mtuelewe pesa hii ya msaada inaweza kujenga madarasa elfu 10 mapya kwaajili ya watoto hawa wa masikini, Watanzania je hili ni jambo baya?"

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI


VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

photo_2021-10-07_07-18-24.jpg
 
UKIWA NA SAMIA RAHA SANA

Mabeberu waliwasikiliza sana hawa akina Lissu

Ila kwa jinsi mama anavyowafuata hadi New York kina Lissu kimya kabisa

Niliwaambia Samia atafanya mambo makubwa sana kirahisi kwasababu ya mkono wa Mungu

Mungu ampiganie Rais wetu kipenzi aendelee kutusaidia sisi masikini
 
Tutarajie misaada mingi sana wakati huu wa Samia,
Wazungu wanataka haki tu walete pesa na haki ni asili ya Rais wetu,
Uchumi utachangamka sooner

Hakika hakuna kama Chief Mkuu Hagaya
Asante Sweden kwa huruma.

Kiongozi anayependa haki ataogopaje tuwe na TUME HURU YA UCHAGUZI?

Pia mpenda haki ataweza kweli kuwa na msimamo wa kura mpige mnakotaka lakini serikali tutaunda sisi?
 
UKIWA NA SAMIA RAHA SANA

Mabeberu waliwasikiliza sana hawa akina Lissu
Ila kwa jinsi mama anavyowafuata hadi New York kina Lissu kimya kabisa,

Niliwaambia Samia atafanya mambo makubwa sana kirahisi kwasababu ya mkono wa Mungu,

Mungu ampiganie Rais wetu kipenzi aendelee kutusaidia sisi masikini,
Samia raha sana ila tumsaidie kwa kufanya kazi kwa bidii na weledi

Nia ya Rais wetu ni njema sana kwa hakika,

Mungu atusaidie mipango yetu kama Taifa iende sawasawa ila imani ni kubwa mwaka 2030 Tanzania itakuwa mbali sana kimaendeleo
 
Tutarajie misaada mingi sana wakati huu wa Samia
Wazungu wanataka haki tu walete pesa na haki ni asili ya Rais wetu,
Uchumi utachangamka sooner

Hakika hakuna kama Chief Mkuu Hagaya
Milango imefunguka sio tu misaada pia wawekezaji wanakimbizana kwa sasa

Tanzania ya Samia imejaa utukufu wa Mungu
 
UKIWA NA SAMIA RAHA SANA,

Mabeberu waliwasikiliza sana hawa akina Lissu ,
Ila kwa jinsi mama anavyowafuata hadi New York kina Lissu kimya kabisa,

Niliwaambia Samia atafanya mambo makubwa sana kirahisi kwasababu ya mkono wa Mungu,

Mungu ampiganie Rais wetu kipenzi aendelee kutusaidia sisi masikini,
Kinachotakiwa ni haki tu, haki ikitendeka hata Lissu na mabeberu hawana shida na mtu
 
Hakuna kama Samia,
Mama huyu ni mpole
Mama huyu ni mnyenyekevu
Mama huyu ni mpenda watu
Mama huyu ni mchamungu
Mama huyu anachukia rushwa
Mama huyu hana makundi
Mama huyu ni mtulivu sana
Mama huyu ni msomi
Mama huyu anajua fluent English
Mama huyu ni mstahimilivu sana

Endelea......
 
Back
Top Bottom