Kiukweli huo ni mrundikano wa madaraka, anastahili apunguziwe mzigo.
Napingana nawe kwenye suala la lugha, halihusiani na utawala kwani kujua kwako kihindi au kijaluo ni suala jingine na uongozi ni suala tofauti. sitaki kukuambia kwamba wajerumani inabidi wajifunze kiingereza kama wakitaka kutoka huko kwao na wengineo wala hawana haja nacho wakifika hapa watajinfuza kiswahili.:teeth:
Hivyo basi Sofia Simba ni wa humuhumu. hakihitaji kiingereza. nawe ukitaka kwenda china jifunze kichina kwanza na si kiingereza!!
Katoa uroda kwa mkuu mmoja wizarani 1970 na sasa hivi acheni ale mitunda wajameni.Wangapi wameliwa uroda ni wakuu mikoan
fafanua 1970 na nani??
Madaraka ya Sohia Simba
Wabbi Time, acha kumung'unya maneno:
Sophia Simba alikuwa sex-partner wa Mzee Mmoja wa Chama Rafiki yake Mzee Mwinyi (wamezaa naye mtoto):
Huyo Mzee Rafiki yake kipenzi A Mwinyi ndiye aliyemtoa Kikwete Mikoa ya Kusini na kumpeleka kwa Mwinyi kumpa Uwaziri (as Kijana)
Kwahiyo Kikwete by any means possible lazime "huyo mzee" alimwapisha kuwa hutaniangusha kama mimi ambavyo sikukuangusha... Basi!
Also note that:: As long as Kikwete ni Rais, Lazima Hussein Mwinyi (MD/MP) ataendelea kuwa Waziri tena Wizara nyeti - Lazima alipe fadhila kwa Mzee Ali Hassan Mwinyi - alimtoa mbali!