mpenda
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 250
- 22
Sophia Simba alikuwa ni mke waa ndoa wa Kitwana Kondo. Na Kitwana Kondo ni miongoni mwa wapigania uhuru wa nchi hii wa zamani sana. Wakati wewe babu yako anachezea kahawa kwenu Tukunyema huko, Kitwana Kondo alikuwa anapanga mikakati ya kumuondoa Edward Twinning.
jamani mbona nilisika kuwa SS ni mke wa aliyekuwa mwenyekiti wa club ya mpira Simba??