Don sparrow
Member
- Dec 23, 2017
- 50
- 42
Kumekuwa na kasumba kubwa ya watu kuvamia mchepuko wa PCB wakiwa na ndoto za kuwa madaktari kwa sababu mbali mbali kama
##don_sparrow##mfitini nafsi
- Ajira nje nje
- Mikopo ilikuwa asilimia 100
- Sifa za kuwa unasoma kozi ngumu
- Hamasa toka kwa wazazi na jamii
- Ile special priority ya udaktari aipo tena
- Mkopo watu wanapata hadi asilimia 0 au wengine hawapati kabisa
- Ukifika mwaka wa tatu unajuta kabisa why ulichagua udaktari (waulize ndugu zako wa MUHAS wanaijua hii stage )
- Ajira hamna kama zamani ...watu wanamaliza intern wana sota mtaani
- Serikali imewasahau madaktari kama sehem muhimu ya maendeleo
- Maisha wanayoishi vijana wanaotaka kuwa madaktari mfano mzuri watu wa MUHAS yanakufanya unakuwa stressed nusu ya maisha yako mpaka unaeza pata depression
##don_sparrow##mfitini nafsi