Kwanini sitaki kupata mtoto

Waliokuleta walijua uwepo wa mashoga,wezi, na ubaya wa aina hiyo,je wewe umekuwa hao wabaya unaowakataa? Hautalazimishwa kuleta kiumbe katika dunia hii,ila kama uko siriazi na jambo hili uje PM tuka kuhasi ili tukurahisishie jambo lako.
 
Mara nyingine watoto hawapendi watoto wenzao, sijawahi kuona mtoto akitaka kuwe na mtoto mwenziwe ndani, ukikua utaacha, watoto ni furaha na zawadi kutoka kwa Mungu.
 
Hongera, mie ni kipato tu ndo kitanifanya kuwa na watoto wachache....
 
Mara nyingine watoto hawapendi watoto wenzao, sijawahi kuona mtoto akitaka kuwe na mtoto mwenziwe ndani, ukikua utaacha, watoto ni furaha na zawadi kutoka kwa Mungu.
Nimekua,nimeyaona.
 
kikwetu mtoto km wewe ni kijana wa kiume ukifa bila mtoto wala make,unazikwa na kaa LA moto makalioni wanasokomeza! ni laana!
 
Kweli kabisa, kuna mambo tunayacomplicate wenyewe tu vichwani na kwa kuangalia watu au jamii itanionaje wakati sio wao watakaoyaishi hayo maisha.
 
Ukapimwe vyoteee...
1. AKILI
2. UZAZI

Usikute unajidai hutaki, kumbe kizazi huna.....

Usikute unajidai hutaki, kumbe akili huna.....
 
kikwetu mtoto km wewe ni kijana wa kiume ukifa bila mtoto wala make,unazikwa na kaa LA moto makalioni wanasokomeza! ni laana!
Mke kuoa lazima,ila mtoto sio lazma kuzaa.kwahiyo hata ningekua kwenu huko nisingefanyiwa hivo sababu si nimeoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…