Kwanini sitaki kupata mtoto

Matatizo ya nguvu za kiume yanatibika jitahidi tu kuhuzuria therapy sessions

.."the first foundamental function of a living cell is to produce so they can pass down information" sasa we ni mgumba kuanzia mawazo mpakavia vya uzazi
 
Ukikua utabadili mawazo yako pale utakapoona nyumba yote uko mpweke.
 


That's good Mwelewa, nimependa sana hapo pa Pro-choice.

Kwa kweli hili ni ISSUE kwenye jamii yetu kama ulivyosema, ambayo mostly jamii inakuwa controlled by a certain group or a certain Idea. Ni tatizo haswa cos wakitokea watu kama flamini wanaonekana wana kasoro, wakati ni kawaida kwa mwanadamu kuwa na desire.
Kitu kingine.
From some 'reads' I thought you were a little conservative, especially when it comes to traditional values. That's why I wanted to hear more about this from you, but you seem mixed, which is good.
 
Mimi ningekuwa wewe basi ningekunywa sumu nife tu, ya nini kuhangaika na maisha, hiyo productivity unayoitaka is for what? Ukipata hizo mali mwisho wa siku ziende wapi? Kwa nini ujihangaishe?
 
Mimi ningekuwa wewe basi ningekunywa sumu nife tu, ya nini kuhangaika na maisha, hiyo productivity unayoitaka is for what? Ukipata hizo mali mwisho wa siku ziende wapi? Kwa nini ujihangaishe?


Mali lazima ziende kwa watoto ama ndugu tu?!, anaweza kusaidia wengine pia wenye Mahitaji.
 
Mali lazima ziende kwa watoto ama ndugu tu?!, anaweza kusaidia wengine pia wenye Mahitaji.
Huo sasa ndo ujinga wenyewe yaani upoteze nguvu zako kwa ajili ya wengine wenye mahitaji.
 
Nimependa hapo umesema "I thought you were a little conservative especially when it comes to traditional values"

That line made me smile [emoji5]

Yes baadhi ya maoni yangu ni "conservative" kuhusu mambo mengi tu ya kijamii. Nashikilia msimamo huu nikiwa na lengo moja kutetea maslahi ya watu wangu. African people.

Nafahamu siwezi kuwa sawa wakati wote.....so I'm always open to new ideas, opinions.

Lakini inapokuja uhuru wa mtu kuchagua mambo binafsi kamwe sitajaribu kumzuia as long as no harm is done
 


I'm glad I wasn't off the line. 🙂

That's just Great!
One of the things that make US, and give us Identity is to be strong and firm in what we believe in, no matter what others might say, or any other distractions.
And if you're still open to new ideas for the lone purpose of learning..it's a perfect match, and one of its kind.
 
Mimi hivyo hivyo, hasa nikifikiri uoza wa hii dunia!
 
HUNA ADABU, SEE MY COMMENT IN RED BELOW

 
Mzazi wako angefanya hivyo ungekuwepo wewe? Huo ni ubinafsi na uoga wa maisha.

Vv
 
Mzazi wako angefanya hivyo ungekuwepo wewe? Huo ni ubinafsi na uoga wa maisha.

Vv
Mzazi wangu yeye ndio alikua ana shida na malengo na mimi ndio maana akanileta,mimi sina malengo na mtoto kuna haja ya kumleta?

Kuhusu ubinafsi naweza kusema wazazi ndo wabinafsi sababu wao kwa maamuzi yao wenyewe wanaamua kunileta kwa furaha yao wenyewe.
 
s
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…