Hii imekuwa inaniumiza sana. Kama ukiangalia Europe sehemu ambayo wanaishi weusi wengi lakini maduka karibia yote yanayouza bidhaa tunazonunua hayamilikiwi na sisi. Tunakuwa wateja tuTuko hivyo kwa sababu moja kuu.
1. Ni kwa sababu tuko hivyo.
Sisi michezo na burudani ndo mahali tunawezaHakuna eneo ambalo mtu mweusi anafanya vizuri, iwe siasa, uchumi, imani/dini, utamaduni, mahusiano, kusimamia mali asili, mtindo ya maisha,lugha, mpaka majina yetu ni ya kutoka huko huko.
Inasemekana wakati a uumbaji, mungu alisahau kuweka ubongo kwa mtu mweusi.
Mkuu,Research yako iko wapi mpka umeamua ku-generalize ..Kama unapenda bling hiyo ni ww🤣
Mkuu,
Labda tusiloelewa ni kuwa wenzetu ndio wanajijengea ukwasi kwa kutuhudumia wakati Sisi tunakufa masikini kwa kupenda kuhudumiwa.Mtu mweusi anajisikia fahari akihudumiwa na mtu mweupe
Kwa iyo we unafikilia kwa kupitia matakoHakuna eneo ambalo mtu mweusi anafanya vizuri, iwe siasa, uchumi, imani/dini, utamaduni, mahusiano, kusimamia mali asili, mtindo ya maisha,lugha, mpaka majina yetu ni ya kutoka huko huko.
Inasemekana wakati a uumbaji, mungu alisahau kuweka ubongo kwa mtu mweusi.
Ni kweli inajionesha kabisa sisi ni watumwa wa mtu mweupe.Kinachonikasirisha ni kukataa mpaka majina yetu na kukataa vyetu.Hakuna eneo ambalo mtu mweusi anafanya vizuri, iwe siasa, uchumi, imani/dini, utamaduni, mahusiano, kusimamia mali asili, mtindo ya maisha,lugha, mpaka majina yetu ni ya kutoka huko huko.
Inasemekana wakati a uumbaji, mungu alisahau kuweka ubongo kwa mtu mweusi.
Stage aliyofikia naona wahuni wamemwambia inabd ajionyeshe wazi ,na video zake lazima manguo ya makafara yaonekane , yeye na madensa wake na mask ya sign ya mbuziYale machain ya domo aliyanunua kwa ma nigga au weupe pee?
Kuna clip niliona kaingia kwenye duka flani kununua bling bling saa,chains,na mapete ya freemason.
Hata kama ujabahatika kutembelea nchi za Europe au America. Lakini utakuwa umejionea kwenye social media
Kuna baadhi ya vitu sisi weusi tumekuwa tunavipenda na vimekuwa sehemu ya utamaduni wetu. Mfano bling jewellery, hair(mfano extensions, wigs, n.k), cosmetics, vyakula na vingine vingi.
Ambacho kimekuwa kinaniumiza kichwa. Maduka ya hizi bidhaa Europe na America mengi kama sio yote. Hayamilikiwi na weusi hasa maduka makubwa.
Lakini, ukiangalia bidhaa wanazopenda wahindi hayo maduka yanamilikiwa na Wahindi. Kwa Wachina, Turkish, Polish ni hivyo hivyo. Lakini kwa sisi weusi ni tofauti. Ni kwanini inakuwa hivi?
Kwenye maduka ya vyakula vya kiafrica ni hivyo hivyo:
View attachment 1976465
View attachment 1976470
Bling bling:
View attachment 1976475
View attachment 1976478
View attachment 1976479
View attachment 1976480
Kwenye vyakula.
View attachment 1976501