klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Miss u too honey, yule mchumba ulonipatia anakaba sana bana ndio maana. Uko mzima chwitii?klorokwini nimekumiss mpaka natamani kulia.
Miss u too honey, yule mchumba ulonipatia anakaba sana bana ndio maana. Uko mzima chwitii?klorokwini nimekumiss mpaka natamani kulia.
.....kwa sababu miguu yenu imekomaa, na ina manyoya
Wala msijaribu !
Kuna watu wana Vigimbi , na Vinumbu si vya polepole !
Uzima niutoe wapi darling wakati wewe umejificha hivyo? Wewe mwenyewe wajua nisipokuona mfululizo presha inapanda na haishuki...Miss u too honey, yule mchumba ulonipatia anakaba sana bana ndio maana. Uko mzima chwitii?
siyo manyoya Bhana, ni vinyweleo.. Manyoya kwani tumekuwa sokwe?
Uzima niutoe wapi darling wakati wewe umejificha hivyo? Wewe mwenyewe wajua nisipokuona mfululizo presha inapanda na haishuki...
huyo mchumba mwambie akukome tena aache kukukaba manake nitakuja kukuchukua...nilimwambia anishikie klorokwini wangu sio ambane khaa!
heheeh haka kapost acha nikakaweke kwenye album kabla nitonye hajakuja na mikwala yake.Uzima niutoe wapi darling wakati wewe umejificha hivyo? Wewe mwenyewe wajua nisipokuona mfululizo presha inapanda na haishuki...
huyo mchumba mwambie akukome tena aache kukukaba manake nitakuja kukuchukua...nilimwambia anishikie klorokwini wangu sio ambane khaa!
Asante mweshimiwa spika, sina suala la nyongezaSio yote......
Miguu 2 tu.......
wewe klorokwini Unachekesha sana bado hujakuwa tu? kwani hapo Tanzania bado mnatumia Dawa ya klorokwini? Dawa ya klorokwini imekwisha na wakati ninafikiri haitumiki tena hapo Tanzania.:A S 41:heheeh haka kapost acha nikakaweke kwenye album kabla nitonye hajakuja na mikwala yake.
Pole sana darlin hata mimi nilikuwa na mapresha hayashuki kipindi kile umenigomea kujibu maPM yangu lakini kuna sredi moja ya MziziMkavu inasema ukichanganya asali mbichi na mdalasini halaf ukalala kitanda tofauti na mchumbaako inasaidia. Jarib hii dawa chwitihati.