Wakuu marry chrismass.
Nimekaa nimewaza na kufikiri naona kama kuna kitu hakiko sawa kuhusu sisi waafrica.
kitu cha kwanza ni kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine, mfano ulaya ni weupe,asia ni weupe,australia ni weupe,america kaskazini na kusini ni weupe (isipokuwa black americans tu ambao nao pia wanatokana na mababu zetu waliopelekwa utumwani kule).
so najiuliza kwanini only africans are the black people ? Kwa majujibu wa takwimu za population, dunia mpaka sasa ina watu bilion 7.8, na africa pekee ina watu bilion 1.3 tukijumlisha na yale masalia ya america na carribean labda tunakuwa 1.4 au 1.5 billion ndo watu pekee weusi duniani, maana ake kati ya watu bilion 7.8 weusi ni 1.5 bilion pekee,wengine wote wanaobaki ni weupe, kwanini yani weupe mbona wengi sana, je imekuwaje weusi wakawa wachache alafu wametengewa bara lao, maana mabara yote 6 yenye watu matano ni weupe isipokuwa bara moja tu la africa ndo weusi tii why mbona sipati majibu sahihi ? Sijichukii kwa sababu mimi mweusi ila najiuliza tu kwanini waafrica pekee ndo weusi ? Alafu pia wakawa wachache kuliko weupe ? Kuna laana gani ilipita hapa ebu nambieni wadau.
Kitu cha pili, kwanini sisi watu weusi tunaonekana tuko nyuma kwa karibu kila kitu, kuanzia ustaarabu watuletea watu weupe, teknolojia nyingi zimetoka kwao (asilimia karibu 90 ya kila tunachotumia waafrica kilianza kwanza kugunduliwa na mweupe), kwanini mweusi akawa nyuma sana ? Kuna laana gani hapa ? Kwanini sifa ya mwafrica ni ya umaskini na ujinga tu why this ? Walitutawala kwa karne karibu 4, wakatutumikisha kwenye ardhi yetu wenyewe na kutufanya watumwa na sisi tukakubaliana na hali, why only africans we became very stupid ? Mbona sisi hatukuanza kuwatawala ila wao weupe wakaanza ? Tuna rasimali kibao ila tumeshindwa kuzitumia zituboreshee maisha badala yake bado tumkabidhi mtu mweupe, kwanini sisi watu weusi tuna nini ebu nipeni majibu !
Cha mwisho, kwanini ngozi nyeusi inabaguliwa (racisim) na kuonekana duni, nadhani tunashuhudia wenzetu walioko ng'ambo jinsi wanavyobaguliwa na kuitwa nyani, ina maana sisi weusi duniani tulikuja bahati mbaya au ni vipi yani !...niki mnukuu mwarabu moja mweupe pale libya ambaye aliwateka waafrica wakiwa wanatorokea ulaya kupitia mediterania aliwaambia hivi "mnaenda wapi nyie watu weusi kutoka kuzimu watumwa mliolaaniwa ninyi"....unaweza kuona ni jinsi gani sisi watu weusi tunavyochukuliwa na watu weupe, sasa kwanini sisi waafrica tukaumbwa weusi (rangi ya kudharaulika,duni) alafu tukawa wachache na bado haitoshi tukapewa bara la peke yetu weusi (bara la africa) wakati weupe wao wakaumbwa wengi alafu wakasambazwa kwenye mabara matano tofauti na pia wakapewa upeo wa uelewa kuliko sisi ? Au ni kweli mungu alitulaani nini sisi weusi ? Au sisi weusi ni uzao wa shetani kama wanavoamini baadhi ya weupe ?
Nb : sijaudharau uafrica wangu ila najiuliza tu kwanini mweusi anadharauliwa na kudunishwa wakati mweupe yupo mbele yetu kwa karibu kila kitu ?
Uko vyedi mamaa!! fit kote koteOkey, kuhusu why sisi niweusi nafkiri sitapagusia,
ila kwanini sisi ni slow learner, masikini, wajinga na kila baya linalotokea humu duniani it is becouse of our DNA!!
Tumeumbwa hivyo!! We jiulize mpaka leo africans sawa tulitawaliwa, sawa tulikuwa exploited sawa tulikuwa slaved, but till today nothing has changed!
Yaani unajua why ni poor, why ni mjinga, why una njaaa barani kwako, na unajua kabisa solutions towards hizo challenge ila hauriact
The answer is simple the problem is our "DNA"
Ndani ndani kabisa kwenye kuumbwa kwetu automaticaly tulipewa sifa zifuatazo
*Chuki na wivu wakijinga
*Ubinafsi
* Uroho
Until that day huyo aliyetuuba aamue kuviondoa hivyo, kwenye upcoming next generation ya mtu mweusi, ndio siku tuta badilika!!
Mungu aliumba kwa kufinyanga udongo kisha kuweka kwenye oven ili kuimarisha umbo. Wakati anaumba alijisahau akalala na udongo ukaungua na kuwa mweusi, alipoamka akaona hawezi kurudia, akaamua hao watu wakae Afrika.
Hakuna anaye mdharau mweusi Duniani..ila mweusi ndo anajidharau mwenyewe...km wamerogwa vile... Mweusi anapenda ile ngozi ya zeru zeru wa ulaya kwa vile ana hela na akikaa nae week tu atamkimbia na weupe walisha jua hilo cha kufanya ni mwendo wa kutengana tu.....siku mweusi akipata hela japo robo tu ya mzungu??? Heee!! mweupe mbona atakoma......lkn zeruzeru wa kwao africa wanaua.wanawabagua. MIBAGUZI NI MIAFRICA YENYEWE NDO ILIANZA...HAO NI MAZERUZERU TU.kwanini weusi wanadharauliwa, wanadunishwa,wanabaguliwa, kwani kuwa mweusi ni laana gani hapo
Huyu ni mhindi
View attachment 2056484edit sio uweus wa kiwango hki
Weusi wakati tunatawala Dunia hii takribni mika karibia elf 4 huko nyuma tulikuwa super power ni ile mbaya!! woote sisi weusi baadhi ya wengi wetu tumetokea Misri, vitukuu vya mafaraoh viko viiingi tu humu!
tulijichanganya sana na weupe lkn sisi ndo tulikuwa wa kwanza kuwadharau weupe ktk zama hizo na mpaka leo hii tuna wazaaa weupe lkn tunawadharau sana tuna waua bila sababu!
tumewapa ma-jina mabaya eti ''Zeru!! zeru!''!...kuonyesha kwamba lilikuwa jina baya! siku hizi wanaitwa walemavu wa ngozi! tuliwaua ,tukawa terekeza. bila misaada!
wao wakajikusanya kivyao kimkakati wakiwa hukooo Milima ya Cauccas Mt. karibu na Russia ya leo!!.....wakajipanga ivooo! wakarudi kusoma Kwenye nchi za Misri kwa shida mnoo!
ikafika mahali wakagundua baruti za Bunduki......wakajipanga chini ya kiongozi wao maarufu km Alexander de great!! so wakaivamia Misri ya mafarao! yooote mpaka na middle East ikawa himaya yao wakatawala!!
tangia hapo kibao kimewageukia weusi!! wakatekwa wakuzwa miongoni mwao mazeruzeru!! weusi hawakuamini kilichokuwa kinawatokea mpaka leo kuwa wale mazeruzeru wamejiweka sawa!
wakajaribu kupigana nao wakawashinda vibaya mnooo!! mpaka wakabeba wake zao kinguvu wakazaa nao vitoto vikawa taifa la waarabu wa leo!! hao nao waka wakataa weusi!
Tena hili jina la weusi mmepewa tu, ili mjione duni!! lkn hakuna mtu mweusi Duniani, maalbino walianza kutengwa kidogokidogo km unavooona leo!! ...wao ndo wakawatenga kabisaaa!! ili muonje dawa yenu!!
sasa mmebaki kujipa moyo eti Buracki is beauty!! .......ya waapi .........nani kasema>>???? tulieni dawa iwaingie....
Kuonyesha kuwa sitaniii leo hii walemavu wa ngozi bongo wamejitenga na ka NGO kao kanaitwa ''under the same sun! ki vyao wakiona mweusi tu anakuja wanamkimbia...
sababu wakijichanganya na nyie tu mnawaua! sasa mtu km huyu awe tajiri ghafla apate na minguvu ya kijeshi km yote atakuelewa??? sasa ndo ivoivo na hao wazungu walivokuwa!
wanaamini wakiwalegezea tu!! mtawamaliza nyie Manyani! hamna uelewa mzuri! km mie muongo hao wazungu hawatolewi misukule!! wakija hapa kutalii ni heshima na adabu!
kuonyesha kwamba sitaniii Kwenye Damu ya mzungu yeyote kuna DNA za mweusi!!! kwa hiyo ile dhambi mliyo wafanyia ndo ina watafuna leo hii!! tena waliwatumikisha kweli mpaka leo! tulieni tu dawa iwaingie!
Kwa hiyo weye ridhika tu saabu tulishawaambia miaka mingi kuwa '''Mshahara wa dhambi ni nii............hao ni wajukuu zenu lkn kwa vile mliwakataa basi na wao wanawalipa stahili yenu!
NI kwasababu ..sisi weusi,ndio sura na mfanano halisi wa aliyetuumba...hivyo hao weupe NI wivu TU unawasumbuaWakuu marry chrismass.