Acha kujifarini bhana nywele zenyewe kipili pili halafu unasema wazungu ndio wana dharau?mimi sijaamini kwamba ni mbaya ila weupe (wazungu) ndo wanaiona ni mbaya ndo maana wanatubagua na kutuita nyani, na wakaenda mbali zaidi na kusema sisi na uzao wa shetani.