Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Tafuta pesa kwanza, ila kama unazo fanya haya simple tuu

Badilisha mwonekano kuwa tozi kidogo, vaa cheni za English Gold, jifunze uongo kidogo, piga pamba nzuri, weka bibble pembeni mvae shetani.

Nakwambia utakuwa nao msululu hadi wengine unasahau kuwatafuta.

N:B usihonge cash ila mtoe lunch, bata, toa offa za kuingia tumboni kesho yake viko chooni
 
Kuhusu hili la sumaku [emoji23][emoji23][emoji23] sina uhakika nalo labda wanajamvi wetupe uzoefu kama kweli sumaku hujitokezaa baadΓ a ya kupita kwa wawili watatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa na dem kupata mpenzi mpya ni simple sanaa kwasabab una kuwa huna chakupoteza
 
Labda nikusadie kitu kimoja pengine ndio ikakusadia ndg yangu kuna kitu kinaitwa UTASHI, kwako wewe labda huna aidha ni mvivu, ukihitaji mpenzi inahitajika stahamala, subira, jitihada, vinginevo hutofanikiwa usidhani hao unaowaona wana wapenzi ukajidanganya wamewapata kiurahisi kama unavyofikira la hasha wengi wao wametumia nguvu ' muda' jitihada stahamala 'akili ' na pesa nyingi hatimae wakawamiliki .
 
Kama demu hakupendi hata utumie akili ya wap au utashi hatokubali kamwe. Labda awe malaya apende hela zako.

Ukiwa na akili Sana au ukumia akili Sana wanawake huwapati kabisa na uwasahau. Ndo maana watu wenye akili kuhandle wanawake hushindwa kabisa.

Mbona kuna vijana misharobaro wavaa heleni na wanaosuka wanapendwa na wanawake hatari

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji274][emoji23][emoji274][emoji102][emoji102] hebu kuwa serious wewe, kua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukitongozwa woga utakutoka na utoka
 
Mwanamke ukimdanganya upo kitengo fulani serikali ni ngumu sana kukutolea nje na nirahisi kukupa mapenzi na ni ngumu kukupiga mzinga ataogopa kukupoteza
 
Kwa hiyo we ukiambiwa nina mtu tayari unapotezea? tatizo linaanziaga hapo, ke unapomtangoza wengi hua na majib ya kukatisha tamaa ili ajue ka upo serious au lah, sa ka wewe ndo ukiambiwa hivo tu unaghairi mpaka utajihisi unagundu.
hii ndo changamoto ambayo anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…