Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Dogo tafuta hela....hilo neno kutongoza halipo siku hizi , ukiwa na hela utatamani ukimbie nyumba yako mwenyewe sababu ya kuzongwa na hao viumbe...
 
Kwa hiyo we ukiambiwa nina mtu tayari unapotezea? tatizo linaanziaga hapo, ke unapomtangoza wengi hua na majib ya kukatisha tamaa ili ajue ka upo serious au lah, sa ka wewe ndo ukiambiwa hivo tu unaghairi mpaka utajihisi unagundu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tupe PDF yote ya hiko kitabu basi tuangaike wenywe kukisoma
 
twende mbele turudi nyuma kupata wakuo wakt ukiwa 30yrs na kuendelea kazi sana, cha kushauri hapo anza kuruka na girl wa miaka 18-24.
lakin kuanzia 25 nakuendelea mara nyingi wanakuwa tyr washakuwa na watu wao wanaowafikiria..
Wala si lazima. Mpaka sasa mwaka huu nimekula maduu watano. Watatu kati yao ni 25 plus.
 

Mkuu isijekuwa pale ulipokuwa nae zamani Mmoja akakuona una kibamia anakusema anawaambia wenzake kwahiyo kila unaekutana nae anakukimbia mkuu...
Hahaha joking kaka!
Au wale wanawake wa Kulipia huenda wamekuekea kitu ili uwe unarudi Kwao..
Kwa kuanzia inaonekana wewe ni Msomi (Graduate na Una Kazi yako)
Hivyo unataka wa kuendana na wewe...
Sasa anzia wa chini kwanza hata Mfanya usafi
Ukishatafuna utapata mvuto(Sumaku)flani watakuwa wanakuja wenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] relax mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…