Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Mp 8 za iPhone yoyote ile ni zaid ya mp 16 za Samsung, kamera bora haing'arishi pcha wala kutia nakshi yoyote ile
Wewe kweli ni mtumiaji wa iPhone siku hizi wanajitahidi picha unayopiga iwe sawa na unavyoina katika reality hakuna mingao ya ajabu piga simu na matecno mtu anaweza kusema unajichubua
 
Live
 
Jiulize kwann marekan wanatumia sana iphone na sio android phones? Iphone ni highly secured phone achilia mbali performance yake...
Binafsi hata ukiiwasha ni seconds unaanza kutumia hakuna kustack kwenye apple Logo tunatofautiana kwenye mambo mengine najua wewe ni Timu Nyumbu ila kwenye suala la iPhone naungana na wewe
 
Binafsi hata ukiiwasha ni seconds unaanza kutumia hakuna kustack kwenye apple Logo tunatofautiana kwenye mambo mengine najua wewe ni Timu Nyumbu ila kwenye suala la iPhone naungana na wewe
Huyo nyumbu amekudanganya USA majority wanatumia android
 
Binafsi hata ukiiwasha ni seconds unaanza kutumia hakuna kustack kwenye apple Logo tunatofautiana kwenye mambo mengine najua wewe ni Timu Nyumbu ila kwenye suala la iPhone naungana na wewe
Najua na wewe team msukule wa lumumba ila kwa hapa nakuunga mkono maana hata JIWE kwenye hotuba yake kule moro akiwa anampigia katibu mkuu wa wizara ya maji alikua anatumia kitu cha iphone. Najua alikua anataka kutumia katekno ila wavaa miwani myeusi wakamkataza na kumwambia atumia iphone kwa usalama wake!! [emoji23]
 
Wewe kweli ni mtumiaji wa iPhone siku hizi wanajitahidi picha unayopiga iwe sawa na unavyoina katika reality hakuna mingao ya ajabu piga simu na matecno mtu anaweza kusema unajichubua
Live, eti mwanaume unakomaa na beauty kamera?
 
Sasa kama huzipendi na “una uwezo wa kununua” si uachane nazo sasa. Endelea kununua samsung upate picha za kuuza sura insta. iPhone dont save garbage plus it’s security is high
Mada ina mambo ya msingi mengi. ila naona umejibu ambayo yanalingana na akili yako. Karibu tena
 
Karibu utumie Oppo F7 au hata F5 hutatamani tena kutumia iphone
Nimetumia simu za aina mbalimbali ikiwamo iphone 5,5s, 6 na 6+; Samsung, HTC, LG, Huawei na Blackberry ZQ. Lkn kwa Oppo F5 na ss F7 ni simu nzuri sana. Kuanzia RAM 4-6; Storage, ukija ktk picha ina very clear and smooth hauna haja ya kudownload applic za kutengeneza picha sijui beauty et al. Chaji inakaa vema na ni nyembamba sana yenye mng'ao na umbo la kipekee. Changamoto ni upatikanaji wa accessories bd shida kidg lkn ukienda Mombasa na Nairobi unapata
 
Team Apple hatusumbuki kuazimwa charger
 
IPhone ni sawa na gari aina ya scania na magari ya mchina yanayotumia engine za Cummins na weichai, hizi gari za mchina utakuta engine hp 375 au 360 lakini zinazidiwa uwezo na scania yenye hp 310, wengi tunapenda simu nzuri ila mmhhhh[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️
 
Mbona sisi tunaotumia Siemens hamtujadili jamani,hili haliwezekani kabisa ngoja nifungue Uzi nilinganishe na Simu nyinginezo,ngoja nitafute ya kulinganisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…